Tuache unafiki kwenye soka. Yanga wanacheza mpira wa kiwango cha Barcelona, Man city

Tuache unafiki kwenye soka. Yanga wanacheza mpira wa kiwango cha Barcelona, Man city

Yaan mpaka February, Prof atakua anapata shida sana nani aanze, nani abaki.
Djigui /Abuu
Bryson/ Kibwana/Djuma/ Athuman, hku Farid/Moloko /Saido/Yacouba, Aucho/Sureboy, Fiston/Makambo

Moto unaingia moto.

Yanga utamu kunoga (mpenja voice)
 
Yaan mpaka February, Prof atakua anapata shida sana nani aanze, nani abaki.
Djigui /Abuu
Bryson/ Kibwana/Djuma/ Athuman, hku Farid/Moloko /Saido/Yacouba, Aucho/Sureboy, Fiston/Makambo

Moto unaingia moto.

Yanga utamu kunoga (mpenja voice)
Kabisa mkuu.....mfano... mwanzoni nilikuwa naona ntibazonkiza ....Kama hana madhara ...ila saiz ni Moto sana
 
Wafungaji[emoji116][emoji116][emoji116]
FB_IMG_16410105865686124.jpg
 
Mkuu......subiri yajayo yanafurahisha

Tulitolewa coz kikosi kilikua ndo kinaundwa......wrong timing ya hiyo michuano ndiyo iliyotucost

Kumbuka

up to know YANGA inacheza 60% ya mpira ulio kichwani mwa proffesor

Jiulize ikifika 100%. Pira litakuwaje
😅😅😅😅 60% tu
 
Kwakweli nawapongeza sana Uto watani zetu.
mnaonyesha kuimarika kila angle,japo wachezaji wa Dodoma wameonyesha kama wamechoka sana au awakula chakula jana na leo sijui ni misumari au ni mchongo.

ila yote kwa yote huu ndo mwaka wenu wa kubeba ubingwa mkijikwaa msimu huu sahauni ubingwa mabwege nyinyi[emoji23][emoji23](jockes)
🤣🤣🤣🤣🤣🤣we ni mmoja ya wanasimba naowakubali humu
 
Kama wewe ni mdau wa soka na sio shabiki wa mipira basi utaniunga mkono kwa hili. Mpira wanaocheza yanga unatisha.

Imagine aneyeingia sub ni Moto kuliko anayetoka (kitaa tunaeema "linatoka jini ......linaingia jini" kwamba hakuna ambaye mdhaifu.

Ikumbukwe ni hii Dodoma jiji aliyocheza na SIMBA

Angalia ball possession kati ya WANANCHI na Dodoma jiji[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji113]
View attachment 2064358
Kipimo ni Dodoma jiji? Watanzania tunaelekea kuwa vichaa wote. Tena 2022 haitatuacha tukiwa salama.
 
Yanga inakupa sex football zaidi ya sanchoka akiwa kitandani
nb mimi ni simba damu
 
Kwakweli Yanga wakikutana na Dodoma jiji inakua timu nzuri Sana zaidi ya Barcelona.
tukiwakutanisha tu na Namungo wanakua wabovu zaidi ya timu za Umitashumta.

Ni Dodoma jiji walicheza chini ya kiwango au ni Yanga wako vizuri?
 
Back
Top Bottom