Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi.
Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake kuteketezwa.
Sisi wananchi tunashangazwa na unafiki wa wazi katika matukio hasi , ambayo yaliyiwahi kutokea huko nyuma Awamu ya 5.
Tungeoenda kumshauri Simbachawene aache unafiki wa kuchunguza yale tu wanayopenda na kuacha mengine mazito zaidi, kama ifuatavyo:
1.Tundu Lissu
Serikali ichunguze kupigwa risasi kwa mtu huyu. Mimi si mpenzi wa Lissu wala Chadema lakini ukweli hauna chama.
2. Ben Saanane
Serikali imelifumbia jicho tatizo hili, Simbachawene upo tu.
3. Kifo cha Lwajabe
Alikotwa Mkuranga eti kajinyonga, Serikali itoe majibu ya kuridhisha.
4. Kutekwa Mo, Roma Mkatoliki na wengine.
Ni hii hii serikali yetu pendwa ilikuwepo haya yakitokea, na hakuna maelezo ya kuridhisha.
Sasa Mwingira anapotoa shutuma zinazolingana na haya yaliyotokea, Simbachawene anashituka nini?
Yote yalitikea kipindi cha Awamu ya 5, Magufuli alipokuwa madarakani.
Serikali isisite kukubali kuwa Utawala Awamu ya 5 ulifanya mambo mengi ambayo ni kinyume ya Haki za Binadamu.