abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Regasi kama regasi
Hahahah hiyo ndio legacy aliyoiacha Nduli MWENDAZAKE2021
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah hiyo ndio legacy aliyoiacha Nduli MWENDAZAKE2021
Legacy inazidi kuchimbiwa kaburi.
Ule Mpango wa kujenga mnara wa kumbukumbu ya jiwe wenye thamani ya sh bilioni 420 bado upo?
Mnara tu unakuwa na thamani ya b 420? Unajengewa dhahabu au?Legacy inazidi kuchimbiwa kaburi.
Ule Mpango wa kujenga mnara wa kumbukumbu ya jiwe wenye thamani ya sh bilioni 420 bado upo?
Ulikua hatarishi kwa nani?ndio maana mnaanza kumletea mama ujinga ujingaMimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi.
Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake kuteketezwa.
Sisi wananchi tunashangazwa na unafiki wa wazi katika matukio hasi , ambayo yaliyiwahi kutokea huko nyuma Awamu ya 5.
Tungeoenda kumshauri Simbachawene aache unafiki wa kuchunguza yale tu wanayopenda na kuacha mengine mazito zaidi, kama ifuatavyo:
1.Tundu Lissu
Serikali ichunguze kupigwa risasi kwa mtu huyu. Mimi si mpenzi wa Lissu wala Chadema lakini ukweli hauna chama.
2. Ben Saanane
Serikali imelifumbia jicho tatizo hili, Simbachawene upo tu.
3. Kifo cha Lwajabe
Alikotwa Mkuranga eti kajinyonga, Serikali itoe majibu ya kuridhisha.
4. Kutekwa Mo, Roma Mkatoliki na wengine.
Ni hii hii serikali yetu pendwa ilikuwepo haya yakitokea, na hakuna maelezo ya kuridhisha.
Sasa Mwingira anapotoa shutuma zinazolingana na haya yaliyotokea, Simbachawene anashituka nini?
Yote yalitikea kipindi cha Awamu ya 5, Magufuli alipokuwa madarakani.
Serikali isisite kukubali kuwa Utawala Awamu ya 5 ulifanya mambo mengi ambayo ni kinyume ya Haki za Binadamu.
Mazuri ya magufuli ni mengi mno, ni wajinga tu wasioonaMagufuli will remain the best president ever, he had a vision, he wanted to see immediate results, he hated negligence and corruption, he borrowed usable and repayable loans. Umeme tutauza mpaka nje, rail italeta faida sana mpaka kwa majirani, the shortcomings of its few executives cannot eliminate the good he has done for this country.
Kitu kimoja mimi kilikuwa kinanishangaza, kama alikuwa anafanya mazuri, kwa nini alikuwa anataka kuyafanyia gizani? Kwa nini uzime bunge, uminye vyombo vya habari na uzuie wapinzani?Magufuli will remain the best president ever, he had a vision, he wanted to see immediate results, he hated negligence and corruption, he borrowed usable and repayable loans. Umeme tutauza mpaka nje, rail italeta faida sana mpaka kwa majirani, the shortcomings of its few executives cannot eliminate the good he has done for this country.
Kitu kimoja mimi kilikuwa kinanishangaza, kama alikuwa anafanya mazuri, kwa nini alikuwa anataka kuyafanyia gizani? Kwa nini uzime bunge, uminye vyombo vya habari na uzuie wapinzani?
Unaogopa nini ili hali unafanya mazuri?
Nifafanulie swali langu hapo juu.Mazuri ya magufuli ni mengi mno, ni wajinga tu wasioona
Mazuri ya magufuli ni mengi mno, ni wajinga tu wasioona
Mimi ninadhani mtu anaesema kuwa raisi anaweza kuwa best president ever kwa sababu tu raisi huyo anajenga madaraja na reli mtu huyo ana upogo na ukengevu wa kitafakuri.Magufuli will remain the best president ever, he had a vision, he wanted to see immediate results, he hated negligence and corruption, he borrowed usable and repayable loans. Umeme tutauza mpaka nje, rail italeta faida sana mpaka kwa majirani, the shortcomings of its few executives cannot eliminate the good he has done for this country.
Swali lako gumu mkuu. Wenye majibu ni hao wazee wa legacyMnara tu unakuwa na thamani ya b 420? Unajengewa dhahabu au?
Nao hawana majibu, nimewauliza swali kwenye post zao hapo juu wametoka nduki, yani kama Philibert Bayi.Swali lako gumu mkuu. Wenye majibu ni hao wazee wa legacy
Ulikuwa hatarishi kwa CAG aliyesema tshs 1.5trillion Magufuli kaiweka kwapani.Ulikua hatarishi kwa nani?ndio maana mnaanza kumletea mama ujinga ujinga
Kila ubaya utalipwa , hata kwa wajukuu zao , wote waliokuwa viongozi wakati Lwajabe anauawa kinyama wangali haiHuyo Lwajabe inasemekana walimwingilia kinyume na maumbile, wakamchukua picha na video, wakamtisha akifanya chochote watavujisha, then wakamwachia arudi home!! Haikutosha, wakamtafuta tena na kwenda kummalizia huko Mkuranga!! Then kuna yule jamaa wa Ewura alinyongwa/jinyonga hotelini Sinza! Ulikuwa ni utawala wa Giza! Kuna yule dogo alipigwa misumari ya ugoko na Sabaya, kuna mwingine alikatwa sikio na huyo huyo Sabaya! Wizara ya Mambo ya Ndani ilibidi apewe mtu mcha mungu na aliyenyooka kama Balozi Katanga, watu wengi waliobebwa na uovu wa awamu ya 5 wangekimbia nchi hii!! Unfortunately wizara kapewa chapombe
bibi yako na babu yko ndio mnajua hayo sisi tunachojua ametufumbua macho na wahuni kama nyie na kutuletea maendeleo yanayoonekana hata na kipofu sio mbwembwe za maneno tupu na kuzurura hovyo na kukopa kopa hvyoKabisa, kila mtu anajua Magufuli alikuwa rais muovu,hata hawa akina Simbachawene wanajua hilo, wanachojaribu kufanya sasa ni kuficha ukweli wa yaliyotokea, kwani wanajua hata wao wako madarakani kwa uovu wake. Hivyo wanataka kila mtu ajifanye hakuna baya lililotokea, ili kuendelea kulinda uhalali wa serikali hii iliyopatikana kwa uhalifu wa kidola.
Kwa maelezo yale, Polepole ndiye anayefaa kuhojiwa badala ya Nabii.Polepole amethubutu kusema anasikitika hakuwamaliza watu fulani.
Ina maana wasiojulikana anajua walitumwa wapi.
Wakishughulikiwa walinda legasy wanakuja juu, kwamba watu wanamchafua Baba yao makusudiKila ubaya utalipwa , hata kwa wajukuu zao , wote waliokuwa viongozi wakati Lwajabe anauawa kinyama wangali hai
Kweli, yote yalitokea kipindi cha awamu ya 5!Sasa Mwingira anapotoa shutuma zinazolingana na haya yaliyotokea, Simbachawene anashituka nini?
Yote yalitikea kipindi cha Awamu ya 5, Magufuli alipokuwa madarakani.