Gwadakulima
Senior Member
- Dec 5, 2021
- 153
- 119
Nashukuru kwa matusi yako bila shaka ndo malezi uliyolelewa na wazazi wakoNarudia tena, huu uzi ni kumhusu Magu, hao wengine wana nyuzi zao na sio kwamba kutokujadiliwa kwenye uzi huu ni wema. Isitoshe hata kama JK alikuwa na mouvu yake hayajafikia ya kiwango cha Magu.
NB: Hongera kwa kujitahidi kuweka koma na nukta, ila hili limeondoa ile shaka yangu kuwa wewe una tatizo la uandishi. Kwa sasa nimejiridhisha pasi na shaka kuwa ww ni kilaza halisi. Na wengi wa vilaza ndio mlimuelewa Magufuli bila kutumia akili zenu, bali kulingana na propaganda alizowalisha.
Je? Ukilaza wangu upo kwenye aspect gani? naomba kufahamu, au kwasabau nimeweka refferance ya JK kwenye uzi huu?.mwandishi yoyote lazima awe na refferance za nyuma.nilichogundua kwako hufurahishwi kusema mabaya ya JK ila unafurahishwa kusema mabaya ya JPM.Ubaya ni ubaya tu haupimwi kwa mizani aliyeuwa wa 2 na aliyeuwa mmoja at the same time wote ni wauwaji