Tuache unafiki, Utawala Awamu ya 5 ulikuwa hatarishi!

Tuache unafiki, Utawala Awamu ya 5 ulikuwa hatarishi!

Ni kweli kabisa ulikuwa hatarishi kwa kila mwizi, fisadi, mtetea wezi, wala rushwa, vidomodomo na wenye kujilimbikizia mali, wazembe, vyeti feki na watetezi wa mabeberu, walikiona cha moto!

Kwa tulipokuwa tumefikia kuwapokonya tinge mdomoni watu hao, ilibidi aje huyo na si mwingine!!

Na ilivyo ajabu, aliletwa aliyekuwa amebakiza muda mchache tu wa siku za kuishi kwake ili awatengeneze hao ktk nchi ya wapole, mtu anakunyang'anya tonge mdomoni unamsifia?

Mtu unapelekwa jela kwa kosa la mwenye pesa? Pumbavu kabisa

Taifa hiliii !!!!!!/

Mola tuletee tena mtu kama huyo
Lwajabe aliyeuwawa kwa kutaka kuzuia wizi wa Doto, kwa fedha za misaada, ninyi ndo mlihusika nini?
 
JPM alikuwa na maamuzi ya Kimungu
1) Mungu alikuwa kwa moto wale wafilaji wa sodoma na gomora

2) Mungu aliwauwa kwa maji ndugu na jamaa zake Nuhu

3) Mungu alimpoteza Musa pamoja na kuongoza wana wa israel

4) Mwisho akamtoa mwanae wa peke Yesu apigwe kikatili na kuuwawa bila huruma
Mungu ni katili zaidi ya JPM

1) aliyechinja magaidi kule kibinti
2) aliyewafukuza kazi wazembe na wenye vyeti feki
3) aliyewadhibiti wahuni na wapiga dili
4) aliyekomesha ushaga na madawa yakulevya

Aisee JPM ni katili kwelikweli
Vile vile alimbambika kesi ya uhujumu mzee Shamte aliyefia gerezani.
Mo alitekwa kwa siku kadhaa akiwa madarakani.
Liliundwa genge la wasiojulikana na nafikiri likiongozwa na yeye mwenyewe maana hakuwahi kulitilea maelezo.
Aliteua watu wa kabila lake hasa toka Chato, Geita katika nafasi zote muhimu, upendeleo.
Nanyi mnao mtetea mko kundi hiloholo.
Aliwaambia wananchi wake wakae na mavi yao nyumbani, badala ya kujibu kero.
Miradi mingi ya maendeleo aliilundika kwao Chato, ikiwamo kiwanja cha ndege kilichojengwa bila upembuzi.
Kuna upoteaji wa watu kama Ben Saanane ambao wanahisiwa kuwa wameuwawa kwa amri yake.

Maamuzi ya mihemuko inayotokana na hisia ya kuwa na fsili Mirembe......!
Mkuu tuendelee?
 
Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi.
Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake kuteketezwa.

Sisi wananchi tunashangazwa na unafiki wa wazi katika matukio hasi , ambayo yaliyiwahi kutokea huko nyuma Awamu ya 5.
Tungeoenda kumshauri Simbachawene aache unafiki wa kuchunguza yale tu wanayopenda na kuacha mengine mazito zaidi, kama ifuatavyo:

1.Tundu Lissu
Serikali ichunguze kupigwa risasi kwa mtu huyu. Mimi si mpenzi wa Lissu wala Chadema lakini ukweli hauna chama.

2. Ben Saanane
Serikali imelifumbia jicho tatizo hili, Simbachawene upo tu.

3. Kifo cha Lwajabe
Alikotwa Mkuranga eti kajinyonga, Serikali itoe majibu ya kuridhisha.

4. Kutekwa Mo, Roma Mkatoliki na wengine.
Ni hii hii serikali yetu pendwa ilikuwepo haya yakitokea, na hakuna maelezo ya kuridhisha.

Sasa Mwingira anapotoa shutuma zinazolingana na haya yaliyotokea, Simbachawene anashituka nini?

Yote yalitikea kipindi cha Awamu ya 5, Magufuli alipokuwa madarakani.

Serikali isisite kukubali kuwa Utawala Awamu ya 5 ulifanya mambo mengi ambayo ni kinyume ya Haki za Binadamu.
Magufuli alikuwa kiongozi wa taifa! ninachoshindwa kuelewa kutokana na hizi allegation zanu ni kushindwa kulielewa hilo!! Roma sijui Ben sanane na wengine walikuwa vipi threat kwa kiongozi wa taifa to such extent ya kutaka kuwatoa uhai? nadhani sio busara na hivyo ni matumizi ya ovyo kabisa ya rasilimali ubongo kuzalisha fikra za hivyo
Ebu tujaribu kuionyesha chuki yetu kwa magufuli na awamu yake ya tano aliyoiacha njiani kwa kuangalia madhara ya utawala huo katika mifumo, sera, taasisi na dira ya nchi kwa mfano katika utawala wake tumeona mihimili mingine ya serikali ikikandamizwa kutokana na nguvu aliyopewa kama Raisi(Mhimili wa Dola) kitu ambacho chanzo na lawama zipelekwe kwenye katiba yetu, chuki hizo na lawama mkizipeleka kwa Magufuli as a Person au kwa utawala wake mtakuwa (au tutakuwa) tunalenga kivuli na kumuacha swala ebu inukeni na tuanzishe movement bora ya kudai hii kitu guys katiba yetu HAITUFAI!
 
Vile vile alimbambika kesi ya uhujumu mzee Shamte aliyefia gerezani.
Mo alitekwa kwa siku kadhaa akiwa madarakani.
Liliundwa genge la wasiojulikana na nafikiri likiongozwa na yeye mwenyewe maana hakuwahi kulitilea maelezo.
Aliteua watu wa kabila lake hasa toka Chato, Geita katika nafasi zote muhimu, upendeleo.
Nanyi mnao mtetea mko kundi hiloholo.
Aliwaambia wananchi wake wakae na mavi yao nyumbani, badala ya kujibu kero.
Miradi mingi ya maendeleo aliilundika kwao Chato, ikiwamo kiwanja cha ndege kilichojengwa bila upembuzi.
Kuna upoteaji wa watu kama Ben Saanane ambao wanahisiwa kuwa wameuwawa kwa amri yake.

Maamuzi ya mihemuko inayotokana na hisia ya kuwa na fsili Mirembe......!
Mkuu tuendelee?
Alicopy na kupaste kwa yule
1) aliyembambikia kesi babu sea na wanawe kesi ya ubakaji

2) aliyejenga kasri na barabara ya lami kwa

3) aliyeteua watu wa dini moja enzi zake

4)aliyekuwa na kikundi cha watu wanalioteka madaktari na kuwang'oa meno

5)
 
Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi.
Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake kuteketezwa.

Sisi wananchi tunashangazwa na unafiki wa wazi katika matukio hasi , ambayo yaliyiwahi kutokea huko nyuma Awamu ya 5.
Tungeoenda kumshauri Simbachawene aache unafiki wa kuchunguza yale tu wanayopenda na kuacha mengine mazito zaidi, kama ifuatavyo:

1.Tundu Lissu
Serikali ichunguze kupigwa risasi kwa mtu huyu. Mimi si mpenzi wa Lissu wala Chadema lakini ukweli hauna chama.

2. Ben Saanane
Serikali imelifumbia jicho tatizo hili, Simbachawene upo tu.

3. Kifo cha Lwajabe
Alikotwa Mkuranga eti kajinyonga, Serikali itoe majibu ya kuridhisha.

4. Kutekwa Mo, Roma Mkatoliki na wengine.
Ni hii hii serikali yetu pendwa ilikuwepo haya yakitokea, na hakuna maelezo ya kuridhisha.

Sasa Mwingira anapotoa shutuma zinazolingana na haya yaliyotokea, Simbachawene anashituka nini?

Yote yalitikea kipindi cha Awamu ya 5, Magufuli alipokuwa madarakani.

Serikali isisite kukubali kuwa Utawala Awamu ya 5 ulifanya mambo mengi ambayo ni kinyume ya Haki za Binadamu.
Magufuli alikuwa anamiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho kiongozi wake alikuwa Paul Makonda na Richard Musalika Makungu kabla hajahamishiwa Tabora kuwa RAS. Hawa ndiyo wamehusika na matukio yote ya mauaji na utekaji including wa Nape Nnauye, Zakaria wa Tarime, Diwani wa CDM wa Hananasif
 
Zle fix tu,yule alijipa uaminifu na utukufu asiokuwa nao
Kitu kimoja mimi kilikuwa kinanishangaza, kama alikuwa anafanya mazuri, kwa nini alikuwa anataka kuyafanyia gizani? Kwa nini uzime bunge, uminye vyombo vya habari na uzuie wapinzani?

Unaogopa nini ili hali unafanya mazuri?
 
Hahaaaa!!!!Hakika wajane mtaendelea kutanga tanga maisha yenu yote
bibi yako na babu yko ndio mnajua hayo sisi tunachojua ametufumbua macho na wahuni kama nyie na kutuletea maendeleo yanayoonekana hata na kipofu sio mbwembwe za maneno tupu na kuzurura hovyo na kukopa kopa hvyo
 
Magufuli alikuwa anamiliki kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho kiongozi wake alikuwa Paul Makonda na Richard Musalika Makungu kabla hajahamishiwa Tabora kuwa RAS. Hawa ndiyo wamehusika na matukio yote ya mauaji na utekaji including wa Nape Nnauye, Zakaria wa Tarime, Diwani wa CDM wa Hananasif
Tutaamini tuhuma zako ukienda mahakamani na kutoa ushahidi na hao watu kufungwa. Nje hapo ni majungu tu
 
Angepotezwa ndugu yako wala ucngekuja kuropoka hapa
Ili nchi isimame lazma wachache waumie .......... Lazma tuwaondoe wanaozuia jitihada

Magu alipiga kazi sanaaaa......hao waliopotea walikuwa wapinga maendeleo
 
Bila kupepesa macho Magu hakuwa timamu kiakili.
Wenzetu wangesema alikuwa na mental disorder or insanity.

Hili kosa halitakiwi kujirudia tena katika maisha ya Watanzania.

Kama raia wema hatuna budi kumsamehe.
Hilo Mungu alishalirekebisha na hatuna cha kuongeza wa sasa, naye atatuongoza kutojirudia kwa yaliyotokea 2016-2021.
 
Hahaaaa!!!Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
Alicopy na kupaste kwa yule
1) aliyembambikia kesi babu sea na wanawe kesi ya ubakaji

2) aliyejenga kasri na barabara ya lami kwa

3) aliyeteua watu wa dini moja enzi zake

4)aliyekuwa na kikundi cha watu wanalioteka madaktari na kuwang'oa meno

5)
 
Hilo Mungu alishalirekebisha na hatuna cha kuongeza wa sasa, naye atatuongoza kutojirudia kwa yaliyotokea 2016-2021.
Naomba tusidhalilishe syetem yetu ya nchi mpaka mtu anapewa madaraka lazima afanyiwe vetting. Ikiwemo na afya ya akili.sasa nyie akina nani? Mpaka mjione bora zaidi ya system acheni kujipa majukumu ambayo sio yenu
 
Mimi ni chawa tu kama wewe ulivochawa
Sipo kwenye system na wala hawanitambui hilo swali labda tukawaulize wahusika kama unawafahamu
Usikwepe.
Aisifuye mvua, imemnyeshea.

Nyie ndo wasiijulikana, na Task Force iliyopora mali za wananchi na Bureu de Change.
Sasa mko juan, mnajidai kumsifu JPM kumbe mnasikitika kukosa uporaji.
Mliyaona madudu lakini mnajidai kusifia JPM maana mlifaidika nayo.
 
Back
Top Bottom