Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #121
Msiojulikana mumo humuhumu mtandaoni.Hapana sisi ndo tuliyemuuwa Dr mgimwa ili tuchukue pesa za Tegeta escrow
Kwa kweli system ifanyae mnyambuliko wa mabaki ya awamu ya tano ambao wanaonekana kutoridhika na njisi mambo yanavyoenda ili kuwaondoa kwenye mfumo na kuanzisha mjadala mpya wenye kuakisi sura ya Nyerere na Karume...ambao waliijali Tanzania na kuiheshimu. Hawa kuwagawa watanzania walihubiri umoja, na kuamini umoja, na kuishi umoja. Hatukusikia wanamtandao wala Sukuma gang enzi za Mwalimu bali TANU na CCM maneno yote enzi za Mwalimu yalikuwa manukato ambayo yalifafana na tabia ya Tanzania na mtanzania. Tusikubali kuingizwa mkenge kila mtu abebe msalaba wake mwenye. Aliyeharibu abebe mzigo wake mwenyewe. Mfumo iwatambue wote wanao haribu nchi na kuwatapika kama chakula kinacholeta kichefuchefu. Mama nakuomba simama imara fanya mapinduzi ambayo hayajawahi kifanyika: watanzania tuko nyuma yako. Angalia tu pale Jobo aliposema ya kwake kuhusu nchi kupigwa mnada, amenyeshewa na mvua ya mawe...alitamani kwenda jangwani kuondokana na baridi kali lakini hata huko jua likawa kali hadi akaomba huruma za wagogo... aachane simama imara mama yetu tupo nyuma yako. Wanaume wengi ni wapenda madili kama huyoooo, wanawake wengi wanataka matokeo wewe unataka matokeo na siyo maneno matupu. Wasichokijua mama huko nyumbani mara nyingi anazo taarifa nyingi kuliko baba na watoto wengi hushikishwa adabu na mama kuliko baba. Muuliz (Kingwangala, Zitto, Mnyika, Polepole au January- young bright politician with a brighter future) hili wanalijua. Ukiangalia mwanajeshi wako wa kikosi cha infantry Ummi Mwalimu yuko super kweli kweli hagombani na mtu kwake hapa ni kazi tu na kazi iendelee hao ndiyo kina mama....Mama tafuta namna ya kumaliza ya Freeman hii ni siasa itakusaidia kupata paratroopers wengi wa kukuletea ushindi wa kiuchumi. Waache walumbane kama enzi ya Kikwete itakusaidia kujua mengi huku ukiwa na ujasiri mkubwa kuwa kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi. Ukweli usiopingika ni huu hapa "umeshinda round ya kwanza ya kuwapa watanzania nafasi ya kupumua". Sasa wanapumua wamepona pumu. Wape wapinzani jukwaa itakusaidia kupambana na wapinzani wako ndani ya CCM badala ya kujibizana na serikali watajibizana na wapinzani kwenye majimbo yao ya upinzani. Sasa hivi hawana kazi za kufanya wanaikejeli serikali kuwa inatembeza bakuli..dharau kama hizi zinaletwa na shibe. Wape wapinzani nafasi watashika adabu. Mzee Kikwete alishawahi kuwaambia CCM fanyeni kazi msipo fanya kazi kazi lazima mzaliwe kooni na wapinzani. Fungulia mawazo mbadala itakusaidia kuibua madudu mengi na kuchukuwa hatua kwa haraka kama ulivyokuwa kwenye ESCROW na IPTL bila kuisahau Symbion.Mimi si mpenzi sana wa " Nabii" , "Askofu" Josephat Mwingira kwani mambo yake mengi yana figisu nyingi.
Tuhuma alizozitoa Mwingira si ngeni kusikika, kuwa alinusurika kuuwawa na mali zake kuteketezwa.
Sisi wananchi tunashangazwa na unafiki wa wazi katika matukio hasi , ambayo yaliyiwahi kutokea huko nyuma Awamu ya 5.
Tungeoenda kumshauri Simbachawene aache unafiki wa kuchunguza yale tu wanayopenda na kuacha mengine mazito zaidi, kama ifuatavyo:
1.Tundu Lissu
Serikali ichunguze kupigwa risasi kwa mtu huyu. Mimi si mpenzi wa Lissu wala Chadema lakini ukweli hauna chama.
2. Ben Saanane
Serikali imelifumbia jicho tatizo hili, Simbachawene upo tu.
3. Kifo cha Lwajabe
Alikotwa Mkuranga eti kajinyonga, Serikali itoe majibu ya kuridhisha.
4. Kutekwa Mo, Roma Mkatoliki na wengine.
Ni hii hii serikali yetu pendwa ilikuwepo haya yakitokea, na hakuna maelezo ya kuridhisha.
Sasa Mwingira anapotoa shutuma zinazolingana na haya yaliyotokea, Simbachawene anashituka nini?
Yote yalitikea kipindi cha Awamu ya 5, Magufuli alipokuwa madarakani.
Serikali isisite kukubali kuwa Utawala Awamu ya 5 ulifanya mambo mengi ambayo ni kinyume ya Haki za Binadamu.
Yuko wapi sahivi?Mbona wa mitego aliongea lakin hakfanywa chchte, na kama unaongea kwa kejeli kwa nn usifichwe... Mh. Magu alikuwa sawa kabisa
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Good input, hongera mkuu!Kwa kweli system ifanyae mnyambuliko wa mabaki ya awamu ya tano ambao wanaonekana kutoridhika na njisi mambo yanavyoenda ili kuwaondoa kwenye mfumo na kuanzisha mjadala mpya wenye kuakisi sura ya Nyerere na Karume...ambao waliijali Tanzania na kuiheshimu. Hawa kuwagawa watanzania walihubiri umoja, na kuamini umoja, na kuishi umoja. Hatukusikia wanamtandao wala Sukuma gang enzi za Mwalimu bali TANU na CCM maneno yote enzi za Mwalimu yalikuwa manukato ambayo yalifafana na tabia ya Tanzania na mtanzania. Tusikubali kuingizwa mkenge kila mtu abebe msalaba wake mwenye. Aliyeharibu abebe mzigo wake mwenyewe. Mfumo iwatambue wote wanao haribu nchi na kuwatapika kama chakula kinacholeta kichefuchefu. Mama nakuomba simama imara fanya mapinduzi ambayo hayajawahi kifanyika: watanzania tuko nyuma yako. Angalia tu pale Jobo aliposema ya kwake kuhusu nchi kupigwa mnada, amenyeshewa na mvua ya mawe...alitamani kwenda jangwani kuondokana na baridi kali lakini hata huko jua likawa kali hadi akaomba huruma za wagogo... aachane simama imara mama yetu tupo nyuma yako. Wanaume wengi ni wapenda madili kama huyoooo, wanawake wengi wanataka matokeo wewe unataka matokeo na siyo maneno matupu. Wasichokijua mama huko nyumbani mara nyingi anazo taarifa nyingi kuliko baba na watoto wengi hushikishwa adabu na mama kuliko baba. Muuliz (Kingwangala, Zitto, Mnyika, Polepole au January- young bright politician with a brighter future) hili wanalijua. Ukiangalia mwanajeshi wako wa kikosi cha infantry Ummi Mwalimu yuko super kweli kweli hagombani na mtu kwake hapa ni kazi tu na kazi iendelee hao ndiyo kina mama....Mama tafuta namna ya kumaliza ya Freeman hii ni siasa itakusaidia kupata paratroopers wengi wa kukuletea ushindi wa kiuchumi. Waache walumbane kama enzi ya Kikwete itakusaidia kujua mengi huku ukiwa na ujasiri mkubwa kuwa kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi. Ukweli usiopingika ni huu hapa "umeshinda round ya kwanza ya kuwapa watanzania nafasi ya kupumua". Sasa wanapumua wamepona pumu. Wape wapinzani jukwaa itakusaidia kupambana na wapinzani wako ndani ya CCM badala ya kujibizana na serikali watajibizana na wapinzani kwenye majimbo yao ya upinzani. Sasa hivi hawana kazi za kufanya wanaikejeli serikali kuwa inatembeza bakuli..dharau kama hizi zinaletwa na shibe. Wape wapinzani nafasi watashika adabu. Mzee Kikwete alishawahi kuwaambia CCM fanyeni kazi msipo fanya kazi kazi lazima mzaliwe kooni na wapinzani. Fungulia mawazo mbadala itakusaidia kuibua madudu mengi na kuchukuwa hatua kwa haraka kama ulivyokuwa kwenye ESCROW na IPTL bila kuisahau Symbion.
Good input ila hapo kwa zitto na january unanipa ukakasi kidogoKwa kweli system ifanyae mnyambuliko wa mabaki ya awamu ya tano ambao wanaonekana kutoridhika na njisi mambo yanavyoenda ili kuwaondoa kwenye mfumo na kuanzisha mjadala mpya wenye kuakisi sura ya Nyerere na Karume...ambao waliijali Tanzania na kuiheshimu. Hawa kuwagawa watanzania walihubiri umoja, na kuamini umoja, na kuishi umoja. Hatukusikia wanamtandao wala Sukuma gang enzi za Mwalimu bali TANU na CCM maneno yote enzi za Mwalimu yalikuwa manukato ambayo yalifafana na tabia ya Tanzania na mtanzania. Tusikubali kuingizwa mkenge kila mtu abebe msalaba wake mwenye. Aliyeharibu abebe mzigo wake mwenyewe. Mfumo iwatambue wote wanao haribu nchi na kuwatapika kama chakula kinacholeta kichefuchefu. Mama nakuomba simama imara fanya mapinduzi ambayo hayajawahi kifanyika: watanzania tuko nyuma yako. Angalia tu pale Jobo aliposema ya kwake kuhusu nchi kupigwa mnada, amenyeshewa na mvua ya mawe...alitamani kwenda jangwani kuondokana na baridi kali lakini hata huko jua likawa kali hadi akaomba huruma za wagogo... aachane simama imara mama yetu tupo nyuma yako. Wanaume wengi ni wapenda madili kama huyoooo, wanawake wengi wanataka matokeo wewe unataka matokeo na siyo maneno matupu. Wasichokijua mama huko nyumbani mara nyingi anazo taarifa nyingi kuliko baba na watoto wengi hushikishwa adabu na mama kuliko baba. Muuliz (Kingwangala, Zitto, Mnyika, Polepole au January- young bright politician with a brighter future) hili wanalijua. Ukiangalia mwanajeshi wako wa kikosi cha infantry Ummi Mwalimu yuko super kweli kweli hagombani na mtu kwake hapa ni kazi tu na kazi iendelee hao ndiyo kina mama....Mama tafuta namna ya kumaliza ya Freeman hii ni siasa itakusaidia kupata paratroopers wengi wa kukuletea ushindi wa kiuchumi. Waache walumbane kama enzi ya Kikwete itakusaidia kujua mengi huku ukiwa na ujasiri mkubwa kuwa kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi. Ukweli usiopingika ni huu hapa "umeshinda round ya kwanza ya kuwapa watanzania nafasi ya kupumua". Sasa wanapumua wamepona pumu. Wape wapinzani jukwaa itakusaidia kupambana na wapinzani wako ndani ya CCM badala ya kujibizana na serikali watajibizana na wapinzani kwenye majimbo yao ya upinzani. Sasa hivi hawana kazi za kufanya wanaikejeli serikali kuwa inatembeza bakuli..dharau kama hizi zinaletwa na shibe. Wape wapinzani nafasi watashika adabu. Mzee Kikwete alishawahi kuwaambia CCM fanyeni kazi msipo fanya kazi kazi lazima mzaliwe kooni na wapinzani. Fungulia mawazo mbadala itakusaidia kuibua madudu mengi na kuchukuwa hatua kwa haraka kama ulivyokuwa kwenye ESCROW na IPTL bila kuisahau Symbion.
Nimewataja tu kama vijana wenye upeo mkubwa japo baadhi yao wana tamaa ya fedha na pia ni wasaliti...hawana msimamo..maoni yangu lakini..isikube shida baba.Good input ila hapo kwa zitto na january unanipa ukakasi kidogo