Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

aina hii ya vijana wanamchango mdogo sana katika taifa.
 
Hawa ndo aina ya wapiga kura wa ccm
Maiti inayoongea
 
Umesoma taarifa rasmi ya polisi kuhusu tukio hilo, ambayo imesainiwa na Misime?

Ova
 
Muda Mwingine muwe mnatumia akili ! Yaan police atake kukukamata alafu akimbie akuache na pingu?

Britanicca
Huyo walitaka kwenda kumtemesha hela tu kuna mtonyo
Hao walipewa kuwa jamaa Ana hela kaingiziwa
Na sahv kuna vikosi uchwara wakiongozwa na plc wanafanya

Ova
 


Hivi tukisema mtoa mada ndo mmojawapo wa watekaji/wakamataji tunakosea?
 
Hata yule katibu wa CCM huko njombe huko, kafa kikawaida tu, tuache upotoshaji kwamba eti kavamiwa na watu wasiojulikana, Kifo ni kifo tu, tuache uzushi
🤣🤣🤣🤣 ***** ubaya ubwela
 


Hii issue sometimes unahitaji jicho la tatu kuling'amua. Inawezekana kabisa ni mkakati uliosukwa vyema (msiniulize na akina nani).Baada ya hili tukio, linaweza kuja tukio lingine likimhusisha kigogo mwanasiasa wa chama fulani. Yaani tulipofika imefikia hatua tunaaminishwa kuwa matukio kama haya ni kawaida tuu.Kwa vile tunalichukulia poa hili la sasa, hata la baadaye likitokea ni kama vile hakuna atakayeshtuka.
 
Polisi wana virungu vyao, ukipigwa tu mguuni unasalimu amri. Polisi wakija na dhamira ya kukukamata huchomoki, ukikimbia unavunjwa mguu.
 
Nasikia washamkwio tayar kalutwa kandei
 
Ngoja siku ndugu yako atekwe apotezwe kisha uje JF hapa useme amekamatwa....Jambo kama halijakukuta huwezi kuliona vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…