Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

Wewe ni mmoja wa walofanya tukio hilo. Hawana uniform za police , hawana arrest warrant, hawakujitambulisha.
Utakuwa mpotofu tu ukitaka kuudanganya umma kuwa alikuwa anakamatwa. Tumekuwa jamii ya wanyama mpaka tunavuana nguo kwa hadaa ya kukamata.
 
Deo unaujua msala alioufanya mpaka Sasa hajatokea hadharani kusema walikuwa wanashida gani na yeye?
Mkuu si Deo alienda polisi hadharani, wakamtoa pingu na kumuachia au hujaelewa????
 
Huge for nothing
 
Ingawa sijui uwezo wako wakufikiri lakini nadhani IQ yako ipo chini ya 30.Unadhani wangekua POLISI wangekimbia wangeomba kuongezewa nguvu. pia baada ya wao kukimbea Deo alienda mwenyewe mpaka kituo cha POLISI na POLISI wakamfungua pingu wakamuacha akaenda zake. Wale hawakuwa watu wema.
 
Umeshawahi sikia watu wenye ubongo wa "MAVI"???

🤣🤣🤣🤣
 

Siku hizi polisi wanakamata kama wao nao ni wahalifu? Mbona huwa wanakuja sehemu husika na kumchukua wanauemuhitaji kwa uwazi kabisa na kila mtu akiona? Na wanaeleweka sababu za kukamata?
Kwenye matukio yote haya ya upoteaji wa watu bila kueleweka na polisi kushindwa kuwapata, tunajihakikishiaje hao walikuwa polisi na wana nia njema?
Mzee Kibao alishushwa kwenye basi. Mpaka Leo polisi hawajasema aliyemshusha ni nani na aliyemuua ni nani.
Kama umepata skanka, kalale usubirie dozi nyingine ukipata tena hela. Maisha ya watanzania yana thamani na hayachezewi kirahisi rahisi kama baadhi yenu mtavyotaka kutuaminisha
 
Umekuja kupima upepo? Unajua process za ukamataji zilivyo? Sometimes hata kama umekuja kupotosha ukweli vaa viatu vya Deo bonge kisha ndiyo utoa SHUDU zako.
 
🤣🤣🤣🤣 ***** ubaya ubwela
tufanyeje sasa mkuu, wakifa wao ndio tunalazimishana kushtuka eti na kupaza sauti, tukifa sisi tunafanya maigizo, kwanza tumeambiwa kifo ni kifo
 
Kwa akili yako ya ki barmaid, vile ndio hua watu wanakamatwa na polisi? Bila warrant wala polisi kuvaa sare na gari official la polisi.
Umetumwa kuandika au umeagizwa, waliokutuma wamesahau kwamba Deo aliripoti kituoni lkn hakukamatwa.
Zakuambiwa changanya na zako.
 
Mbona unawatetea????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…