Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

du aisee wewe ni mtu wa kwanza kutumia akili vibaya unajuwa PGO inasemaje kuhusu ukamataji wa mhalifu?
 
Kwahiyo mtekaji umekuja kujitetea hapa
 
Sawa alikuwa anakamatwa...hao waliokuwa wanamkamata ni wakina nani?..hebu tutajie...
 
Ndo utaratibu wa Polisi huo kukamata mtuhumiwa bila uniform? Na vipi vile vitisho walivyompa vya tutakuua!?
 
Mzee kwahyo polisi walikuja kumkamata akawazidi nguvu wakamuacha wakaamua kumuacha,umewahi kuona wapi hii.
 
Uwezo,nia ama sababu za kufanya uchunguzi tulishashindwa ama utayari gaujawahi kuwepo na pengine hata nia ya huo uchunguzi ambao hapo tu utaonekana kama huru.Hivyo kutushawishi sii utekaji ni ukamataji sasa na utupe sababu za kutosha kwanini tuamini mameno yako?Ama ya unayoyaita uchunguzi.
 
Inaelekea kuna jambo haliko sawa hapa nchini yawezekana kuna biashara haramu imeshamiri.
 
We muchepuko acha kutetea
 
Wewe ulikuwa nani kati ya wale watejaji pale..jinga kabisa..
 
Wewe ulikuwa nani kati ya wale watejaji pale..jinga kabisa
 
Wewe na Polisi mmekubaliana mje na majibu hayo.
 
Unatia AIBU.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…