JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Alikuwa anakamatwa na nani?Tukio la kukamatwa kwa Deogratius Tarimo lililotokea katika eneo la Kiluvya linaonekana wazi kabisa kuwa alikuwa ana kamatwa na watu ambao walijitambulisha kuwa ni Askari, hakuwa anatekwa.
Mwenye akili hawezi kusema kuwa eti alikuwa anatekwa!!!! Utekaji hauwezi kufanyika vile.
waliomkamata walitumia nguvu ya wastani sana, hawakumjeruhi licha ya Deo kukaidi kwa nguvu zote, huo hakuwa utekaji bali ukamatqji halali.
Tuache uzushi, tuache uchunguzi ufanyike kisha ukweli utabainika.
Deo hakupigwa wala kujeruhiwa popote pale zaidi ya yeye mwenyewe kujirusha lkn wakamataji hawakumpiga ngumi wala teke.
Wangekuwa watekaji wangeweza kumpa kipigo cha kumtoa fahamu kisha kumtupia kwenye gari, lkn haikuwa hivyo... hii inaonyesha kama hao watu walikuwa wanamkamata sio kumteka.
Acha ujinga bro, niliishawahi kukamatwa mchana kweupe na makachero wa polisi,wawili, walifika nilipokuwa, wakanitajia kosa,na anayenishitaki, wakaniambia inabidi wanifunge pingu, wanipereke mtwara polisi kujibu mashitaka, wakanionyesha vitambulisho na hati ya mahakamani, wakanibeba kwenye boda, tukafika central, aliyenishiitaki nikamkuta, nikaingizwa ndani, nikahojiwa, nikakana, basi wakaniambia aliyenishiitaki inabidi alete ushahidi ndio kesi iendelee, nikaacha mawasiliano, nikaambiwa nipo huru kuondoka, mpaka ushahidi ukiletwa, wataniita, imepita miaka 12 sasa!
Kama wale night polisi walienda kumkamata,mpaka Leo, mbona hawajitokezi, hawa polisi wetu wakija kukukqmata, ukigoma watakuulia hapo hapo, tumeona kwa viongozi wa chadema,
Wale ni kikosi maalum cha kuteka na kuua wapinzani,
Polisi wametoa tamko, watafsnya uchunguzi! Wa nini?kama ni polisi wao?hapo, ni kukili tu, wale walikuwa wenzetu afande so and so!
Tuliwatuma, mpaka sasa hv, 60hrs hawajasema, wale ni watekaji, watesaji, wauaji, hz operations zina Baraka yq samia, period!