Habari JF, kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya Prof Kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni, nikagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la pili ambalo sio kweli ni kwamba lilianza kwa JPM 2020 kitu ambacho sio kweli.
Maonesho ya Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 na yalipelekwa mbele sababu ya COVID-19 lakini jina lilibaki 2020 ni ndiko prof kitila kama waziri alishiriki ,sasa JPM katutoka March 2021 mkutano ufanyike December bado tumuhusishe mtu huyu ?
Tundu Lissu alishamaliza hili suala