Tuache upotoshaji Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 mwishoni, Tumuache Hayati Magufuli apumzike hili ni la kwetu

Kiongozi,acha kuongozwa na ushabiki...ukitaka kujua hili fupa la Bandari lilianza siku nyingi ,tangu enzi za Mwnyeheri Jiwe...google ziara za Mawaziri wa Oman kwenda Magogoni ,mm Sina utaapam wa kuleta clip hapa..Ingia YouTube tafuta Magufuli vs Oman ,utatoa tongotongo zako...Jamaa walianza kumvuta polepole! Kuna moja anasema atamtuma VP SAMIA kwenda Oman kuonana na Mfalme,na akachomekea ..Samia ana wajomba zake huko!
Ukimsikiliza utaona kuwa alikuwa anawapeleka pia Bagamoyo kwenye Ule Uwekezaji wakashirikiane na Wachina🤭😁😁.Naunga mkono hoja kuwa suala hili ni Vita ya Kiuchumi baina ya Magharibi dhidi ya China! Sisi ni ulofavwetu na njaa Ndio umetusabisha tusaini upuuzi!
Hayo uliyoandika hayafanyi jpm kuhusika katika DP tumia akili
 
Haya ya DP World si ya Bimkubwa Samia Wala Mkumbo ni ya Nyerere direct muasisi wa Taifa la watu wajinga, Nyerere akaanzisha Kiswahili chake na kulazimisha ujinga zake za ujamaa Huku yeye ana Master degree, Kila siku anazunguka duniani.

Nyerere alitaka awe amesoma peke yake akidhani ataishi milele , sasa nashangaa lawama zote kwa mama, wakati kimsingi Hatuna akili, Hatuna technology na Hatuna pesa walizonazo wenzetu wa nchi zingine lazima tutaibiwa tu always. Tutulie dawa ituingie vizuri. Na Huu Mkataba wala si wa mwisho tutaendelea kusaini mikataba ya namna hii mpaka mwisho wa Dunia.
 
Njaa
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Huu ñdio ushabiki Sasa..eleza ni jinsi gani Mahusiano ya

Magufuli na Waarabu hayaw3zi fungamnishwa na hali ya Sasa ...shakuambia tow tongotongo uone vizuri!
Uwe unatumia akili mtu kaondoka miaka miwili imepita sisi tuliobaki tunashindwa nini kurekebisha kama kuna shida ?
 
Haya ya DP World si ya Bimkubwa Samia Wala Mkumbo ni ya Nyerere direct muasisi wa Taifa la watu wajinga, Nyerere akaanzisha Kiswahili chake na kulazimisha ujinga zake za ujamaa Huku yeye ana Master degree, Kila siku anazunguka duniani.

Nyerere alitaka awe amesoma peke yake akidhani ataishi milele , sasa nashangaa lawama zote kwa mama, wakati kimsingi Hatuna akili, Hatuna technology na Hatuna pesa walizonazo wenzetu wa nchi zingine lazima tutaibiwa tu always. Tutulie dawa ituingie vizuri. Na Huu Mkataba wala si wa mwisho tutaendelea kusaini mikataba ya namna hii mpaka mwisho wa Dunia.
Huu ndio uhuru wa kutoa maoni
 
Kiongozi,acha kuongozwa na ushabiki...ukitaka kujua hili fupa la Bandari lilianza siku nyingi ,tangu enzi za Mwnyeheri Jiwe...google ziara za Mawaziri wa Oman kwenda Magogoni ,mm Sina utaapam wa kuleta clip hapa..Ingia YouTube tafuta Magufuli vs Oman ,utatoa tongotongo zako...Jamaa walianza kumvuta polepole! Kuna moja anasema atamtuma VP SAMIA kwenda Oman kuonana na Mfalme,na akachomekea ..Samia ana wajomba zake huko!
Ukimsikiliza utaona kuwa alikuwa anawapeleka pia Bagamoyo kwenye Ule Uwekezaji wakashirikiane na Wachina🤭😁😁.Naunga mkono hoja kuwa suala hili ni Vita ya Kiuchumi baina ya Magharibi dhidi ya China! Sisi ni ulofavwetu na njaa Ndio umetusabisha tusaini upuuzi!
Oman walikuwa Kwa ajili ya Bagamoyo wakashindwana masharti..Jiwe akawapiga chini
 
Mwalimu nitamlaumu kwa mambo MATATU:-
1. Kutuletea mdudu- Muungano
2. Kiswahili
3. Mkoa wa Mara hakuwekeza chochote aliwekeza Jina lake tu.
 
Habari JF, kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya Prof Kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni, nikagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la pili ambalo sio kweli ni kwamba lilianza kwa JPM 2020 kitu ambacho sio kweli.

Maonesho ya Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 na yalipelekwa mbele sababu ya COVID-19 lakini jina lilibaki 2020 ni ndiko prof kitila kama waziri alishiriki ,sasa JPM katutoka March 2021 mkutano ufanyike December bado tumuhusishe mtu huyu ?

Tundu Lissu alishamaliza hili suala
View attachment 2680629View attachment 2680630
Kitu ambacho umesahau kutuambia ni kuwa hawa DP World walishakuja wakati wa ngosha na haya matakata yao Mzee akawatolea mbavuni.
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Kiongozi,acha kuongozwa na ushabiki...ukitaka kujua hili fupa la Bandari lilianza siku nyingi ,tangu enzi za Mwnyeheri Jiwe...google ziara za Mawaziri wa Oman kwenda Magogoni ,mm Sina utaapam wa kuleta clip hapa..Ingia YouTube tafuta Magufuli vs Oman ,utatoa tongotongo zako...Jamaa walianza kumvuta polepole! Kuna moja anasema atamtuma VP SAMIA kwenda Oman kuonana na Mfalme,na akachomekea ..Samia ana wajomba zake huko!
Ukimsikiliza utaona kuwa alikuwa anawapeleka pia Bagamoyo kwenye Ule Uwekezaji wakashirikiane na Wachina[emoji2960][emoji16][emoji16].Naunga mkono hoja kuwa suala hili ni Vita ya Kiuchumi baina ya Magharibi dhidi ya China! Sisi ni ulofavwetu na njaa Ndio umetusabisha tusaini upuuzi!
Kwanini DPW ni ya Oman
 
Tutapiga sana kelele lakini jinsi ilivyo mwisho wa siku bandari itakuwa chini ya hao DPW
 
Kitu ambacho umesahau kutuambia ni kuwa hawa DP World walishakuja wakati wa ngosha na haya matakata yao Mzee akawatolea mbavuni.
Leo wanataka kumbebesha mzigo
 
Habari JF, kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya Prof Kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni, nikagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la pili ambalo sio kweli ni kwamba lilianza kwa JPM 2020 kitu ambacho sio kweli.

Maonesho ya Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 na yalipelekwa mbele sababu ya COVID-19 lakini jina lilibaki 2020 ni ndiko prof kitila kama waziri alishiriki ,sasa JPM katutoka March 2021 mkutano ufanyike December bado tumuhusishe mtu huyu ?

Tundu Lissu alishamaliza hili suala
View attachment 2680629View attachment 2680630

Kupumzika kwake kwa aman kuna mahusiano na matendo yake
 
Back
Top Bottom