- Thread starter
- #41
AitweYericko Nyerere wewe bwege unayejifanya unajua intelijensia njoo hapa utwambie yalifanyika lini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AitweYericko Nyerere wewe bwege unayejifanya unajua intelijensia njoo hapa utwambie yalifanyika lini.
Ni miaka 2 na zaidi hivyo tunaweza rekebisha mapungufu kuliko kutupia lawama tu
Sawa mwenye akiliKupumzika kwake kuna mahusiano na matendo yake, siyo ya mtu mwingine. Elewa nachosema. Kama una akili basi
HawatakuelewaOman walikuwa Kwa ajili ya Bagamoyo wakashindwana masharti..Jiwe akawapiga chini
Kabudi kanyamazishwa.Prof Kabudi tunakuomba uzungumzie jambo hili nawe tukusikie.
hawezi kupumzika kwa sababu anawaonea huruma WATANZANIA kwa kile kinachoenda kutokea, kama kuna kusikilizwa kwa waliotangulia bila shaka wanatuombea kwa Mwenyezi Mungu, ili balaa hili la kufungwa mikatale na warabu tena lisitukute.Magu hawezi kupumzika bob! anapumzikaje na damu za watu mikononi mwake?
we ngedere we endelea kumwabudu huyo shetani wako, unamsema utafikiri mtu wa maana ktk nchi hii. Sisi tunamshukuru Mungu kumwondoa.Habari JF, kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya Prof Kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni, nikagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la pili ambalo sio kweli ni kwamba lilianza kwa JPM 2020 kitu ambacho sio kweli.
Maonesho ya Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 na yalipelekwa mbele sababu ya COVID-19 lakini jina lilibaki 2020 ni ndiko prof kitila kama waziri alishiriki ,sasa JPM katutoka March 2021 mkutano ufanyike December bado tumuhusishe mtu huyu ?
Tundu Lissu alishamaliza hili suala
View attachment 2680629View attachment 2680630
Magufuli ni nani nchi nyie mabwege? Ni shetwani moja tu aliyebahatika kushika uongozi wa nchi kwa awamu moja na kwa vile Mungu anaipenda sana nchi yetu alimwondoa mapema kabla ya kuleta madhara makubwa. Ni mazuzu tu km wewe ndio mtaendelea kumwabudu.Magu hawezi kupumzika bob! anapumzikaje na damu za watu mikononi mwake?
Magufuli ni mhuni moja aliyekuwa mbaguzi sala zetu ndio zimemwondoa.hawezi kupumzika kwa sababu anawaonea huruma WATANZANIA kwa kile kinachoenda kutokea, kama kuna kusikilizwa kwa waliotangulia bila shaka wanatuombea kwa Mwenyezi Mungu, ili balaa hili la kufungwa mikatale na warabu tena lisitukute.
Mkuu Zuga, mbona na wewe sasa unatuzuga? Nyerere na DP-W wapi na wapi!! 😈😈Haya ya DP World si ya Bimkubwa Samia Wala Mkumbo ni ya Nyerere direct muasisi wa Taifa la watu wajinga, Nyerere akaanzisha Kiswahili chake na kulazimisha ujinga zake za ujamaa Huku yeye ana Master degree, Kila siku anazunguka duniani.
Nyerere alitaka awe amesoma peke yake akidhani ataishi milele , sasa nashangaa lawama zote kwa mama, wakati kimsingi Hatuna akili, Hatuna technology na Hatuna pesa walizonazo wenzetu wa nchi zingine lazima tutaibiwa tu always. Tutulie dawa ituingie vizuri. Na Huu Mkataba wala si wa mwisho tutaendelea kusaini mikataba ya namna hii mpaka mwisho wa Dunia.
Na hasa ile sheria kuu ya "ili uwe kiongozi ni sharti UJUE KUSOMA NA KUANDIKA"Na kuleta CCM
"TUACHE UPOTOSHAJI" utafikiri umeandika kitu cha maana bila hata haya. Kuna uhusiano gani kati ya kuwepo kwa huyo Magufuli wako na maonesho, maana yale ni maonesho ya kimataifa yalihdhuriwa na nchi nying duniani. Unataka kujenga hoja gani. Vitu vingine ni kichefuchefu we kima.Habari JF, kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya Prof Kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni, nikagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la pili ambalo sio kweli ni kwamba lilianza kwa JPM 2020 kitu ambacho sio kweli.
Maonesho ya Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 na yalipelekwa mbele sababu ya COVID-19 lakini jina lilibaki 2020 ni ndiko prof kitila kama waziri alishiriki ,sasa JPM katutoka March 2021 mkutano ufanyike December bado tumuhusishe mtu huyu ?
Tundu Lissu alishamaliza hili suala
View attachment 2680629View attachment 2680630
Mwambieni huyu bibienu amelikoroga na atalinywa!Kiongozi,acha kuongozwa na ushabiki...ukitaka kujua hili fupa la Bandari lilianza siku nyingi ,tangu enzi za Mwnyeheri Jiwe...google ziara za Mawaziri wa Oman kwenda Magogoni ,mm Sina utaapam wa kuleta clip hapa..Ingia YouTube tafuta Magufuli vs Oman ,utatoa tongotongo zako...Jamaa walianza kumvuta polepole! Kuna moja anasema atamtuma VP SAMIA kwenda Oman kuonana na Mfalme,na akachomekea ..Samia ana wajomba zake huko!
Ukimsikiliza utaona kuwa alikuwa anawapeleka pia Bagamoyo kwenye Ule Uwekezaji wakashirikiane na Wachina[emoji2960][emoji16][emoji16].Naunga mkono hoja kuwa suala hili ni Vita ya Kiuchumi baina ya Magharibi dhidi ya China! Sisi ni ulofavwetu na njaa Ndio umetusabisha tusaini upuuzi!
Akili ndogo huwezi elewa kitu"TUACHE UPOTOSHAJI" utafikiri umeandika kitu cha maana bila hata haya. Kuna uhusiano gani kati ya kuwepo kwa huyo Magufuli wako na maonesho, maana yale ni maonesho ya kimataifa yalihdhuriwa na nchi nying duniani. Unataka kujenga hoja gani. Vitu vingine ni kichefuchefu we kima.
Taa hira"TUACHE UPOTOSHAJI" utafikiri umeandika kitu cha maana bila hata haya. Kuna uhusiano gani kati ya kuwepo kwa huyo Magufuli wako na maonesho, maana yale ni maonesho ya kimataifa yalihdhuriwa na nchi nying duniani. Unataka kujenga hoja gani. Vitu vingine ni kichefuchefu we kima.
Ahsante kwa ufafanuzi sisi wengine tuko Manyovu Kigoma😂😂