Prof Kabudi tunakuomba uzungumzie jambo hili nawe tukusikie.Habari jf ,kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya prof kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni ,nkagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la pili ambalo sio kweli ni kwamba lilianza kwa JPM 2020 kitu ambacho sio kweli .
Maonesho ya Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 na yalipelekwa mbele sababu ya COVID-19 lakini jina lilibaki 2020 ni ndiko prof kitila kama waziri alishiriki ,sasa JPM katutoka March 2021 mkutano ufanyike December bado tumuhusishe mtu huyu ?
Tundu lissu alishamaliza hili suala
View attachment 2680629View attachment 2680630
Prof Kabudi tunakuomba uzungumzie jambo hili nawe tukusikie.
Sema kweli bwashee, nikuletee ndizi mzuzuAhsante kwa ufafanuzi sisi wengine tuko Manyovu Kigoma😂😂
😆😆😆😆 We unadhani anafanya nini huko ?Una uhakika huko alipo amepumzika?
Magu hawezi kupumzika bob! anapumzikaje na damu za watu mikononi mwake?Habari jf ,kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya prof kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni ,nkagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la pili ambalo sio kweli ni kwamba lilianza kwa JPM 2020 kitu ambacho sio kweli .
Maonesho ya Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 na yalipelekwa mbele sababu ya COVID-19 lakini jina lilibaki 2020 ni ndiko prof kitila kama waziri alishiriki ,sasa JPM katutoka March 2021 mkutano ufanyike December bado tumuhusishe mtu huyu ?
Tundu lissu alishamaliza hili suala
View attachment 2680629View attachment 2680630
Una ushahidi wa tuhuma zako ?Magu hawezi kupumzika bob! anapumzikaje na damu za watu mikononi mwake?
Kiongozi,acha kuongozwa na ushabiki...ukitaka kujua hili fupa la Bandari lilianza siku nyingi ,tangu enzi za Mwnyeheri Jiwe...google ziara za Mawaziri wa Oman kwenda Magogoni ,mm Sina utaapam wa kuleta clip hapa..Ingia YouTube tafuta Magufuli vs Oman ,utatoa tongotongo zako...Jamaa walianza kumvuta polepole! Kuna moja anasema atamtuma VP SAMIA kwenda Oman kuonana na Mfalme,na akachomekea ..Samia ana wajomba zake huko!Habari jf ,kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya prof kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni ,nkagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la pili ambalo sio kweli ni kwamba lilianza kwa JPM 2020 kitu ambacho sio kweli .
Maonesho ya Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 na yalipelekwa mbele sababu ya COVID-19 lakini jina lilibaki 2020 ni ndiko prof kitila kama waziri alishiriki ,sasa JPM katutoka March 2021 mkutano ufanyike December bado tumuhusishe mtu huyu ?
Tundu lissu alishamaliza hili suala
View attachment 2680629View attachment 2680630
Sio la damu tu...hata hili la mashirikiano na Oman yupo! Angalia hata namna Kitila Mkumbo alivyochangia siku ile ..body language yake..then akapewa nafasi ya ?mbele!Magu hawezi kupumzika bob! anapumzikaje na damu za watu mikononi mwake?
Moumbavu sana yule jamaa. Lawama hizi zote anatakiwa kupewa yeyeYule Chief sijui anajisikiaje huko aliko kwa yanayoendelea sasa, alijifanya analinda katiba aliyemlinda kwa katiba, ameinajisi hiyo katiba.
Yericko Nyerere Njoo hapa. Kuna Uzi wako unatupotosha Kwa kutumia hii picha.Habari JF, kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya Prof Kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni, nikagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la pili ambalo sio kweli ni kwamba lilianza kwa JPM 2020 kitu ambacho sio kweli.
Maonesho ya Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 na yalipelekwa mbele sababu ya COVID-19 lakini jina lilibaki 2020 ni ndiko prof kitila kama waziri alishiriki ,sasa JPM katutoka March 2021 mkutano ufanyike December bado tumuhusishe mtu huyu ?
Tundu Lissu alishamaliza hili suala
View attachment 2680629View attachment 2680630
Samia mizinguo tu, Hana jipyaYule Chief sijui anajisikiaje huko aliko kwa yanayoendelea sasa, alijifanya analinda katiba aliyemlinda kwa katiba, ameinajisi hiyo katiba.