Tuache upotoshaji Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 mwishoni, Tumuache Hayati Magufuli apumzike hili ni la kwetu

Hayo uliyoandika hayafanyi jpm kuhusika katika DP tumia akili
 
Haya ya DP World si ya Bimkubwa Samia Wala Mkumbo ni ya Nyerere direct muasisi wa Taifa la watu wajinga, Nyerere akaanzisha Kiswahili chake na kulazimisha ujinga zake za ujamaa Huku yeye ana Master degree, Kila siku anazunguka duniani.

Nyerere alitaka awe amesoma peke yake akidhani ataishi milele , sasa nashangaa lawama zote kwa mama, wakati kimsingi Hatuna akili, Hatuna technology na Hatuna pesa walizonazo wenzetu wa nchi zingine lazima tutaibiwa tu always. Tutulie dawa ituingie vizuri. Na Huu Mkataba wala si wa mwisho tutaendelea kusaini mikataba ya namna hii mpaka mwisho wa Dunia.
 
Njaa
 
Reactions: RNA
Huu ñdio ushabiki Sasa..eleza ni jinsi gani Mahusiano ya

Magufuli na Waarabu hayaw3zi fungamnishwa na hali ya Sasa ...shakuambia tow tongotongo uone vizuri!
Uwe unatumia akili mtu kaondoka miaka miwili imepita sisi tuliobaki tunashindwa nini kurekebisha kama kuna shida ?
 
Huu ndio uhuru wa kutoa maoni
 
Oman walikuwa Kwa ajili ya Bagamoyo wakashindwana masharti..Jiwe akawapiga chini
 
Mwalimu nitamlaumu kwa mambo MATATU:-
1. Kutuletea mdudu- Muungano
2. Kiswahili
3. Mkoa wa Mara hakuwekeza chochote aliwekeza Jina lake tu.
 
Kitu ambacho umesahau kutuambia ni kuwa hawa DP World walishakuja wakati wa ngosha na haya matakata yao Mzee akawatolea mbavuni.
 
Reactions: RNA
Kwanini DPW ni ya Oman
 
Tutapiga sana kelele lakini jinsi ilivyo mwisho wa siku bandari itakuwa chini ya hao DPW
 
Kitu ambacho umesahau kutuambia ni kuwa hawa DP World walishakuja wakati wa ngosha na haya matakata yao Mzee akawatolea mbavuni.
Leo wanataka kumbebesha mzigo
 


Kupumzika kwake kwa aman kuna mahusiano na matendo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…