Tuache upotoshaji Expo 2020 Dubai ilifanyika 2021 mwishoni, Tumuache Hayati Magufuli apumzike hili ni la kwetu

Ni miaka 2 na zaidi hivyo tunaweza rekebisha mapungufu kuliko kutupia lawama tu

Kupumzika kwake kuna mahusiano na matendo yake, siyo ya mtu mwingine. Elewa nachosema. Kama una akili basi
 
Magu hawezi kupumzika bob! anapumzikaje na damu za watu mikononi mwake?
hawezi kupumzika kwa sababu anawaonea huruma WATANZANIA kwa kile kinachoenda kutokea, kama kuna kusikilizwa kwa waliotangulia bila shaka wanatuombea kwa Mwenyezi Mungu, ili balaa hili la kufungwa mikatale na warabu tena lisitukute.
 
we ngedere we endelea kumwabudu huyo shetani wako, unamsema utafikiri mtu wa maana ktk nchi hii. Sisi tunamshukuru Mungu kumwondoa.
 
Magu hawezi kupumzika bob! anapumzikaje na damu za watu mikononi mwake?
Magufuli ni nani nchi nyie mabwege? Ni shetwani moja tu aliyebahatika kushika uongozi wa nchi kwa awamu moja na kwa vile Mungu anaipenda sana nchi yetu alimwondoa mapema kabla ya kuleta madhara makubwa. Ni mazuzu tu km wewe ndio mtaendelea kumwabudu.
 
hawezi kupumzika kwa sababu anawaonea huruma WATANZANIA kwa kile kinachoenda kutokea, kama kuna kusikilizwa kwa waliotangulia bila shaka wanatuombea kwa Mwenyezi Mungu, ili balaa hili la kufungwa mikatale na warabu tena lisitukute.
Magufuli ni mhuni moja aliyekuwa mbaguzi sala zetu ndio zimemwondoa.
 
Mkuu Zuga, mbona na wewe sasa unatuzuga? Nyerere na DP-W wapi na wapi!! 😈😈
 
Una uhakika yupo Mapumzikoni?
 
"TUACHE UPOTOSHAJI" utafikiri umeandika kitu cha maana bila hata haya. Kuna uhusiano gani kati ya kuwepo kwa huyo Magufuli wako na maonesho, maana yale ni maonesho ya kimataifa yalihdhuriwa na nchi nying duniani. Unataka kujenga hoja gani. Vitu vingine ni kichefuchefu we kima.
 
Mwambieni huyu bibienu amelikoroga na atalinywa!

Yani hata huu upumbavu wa bandari mnataka kumtwisha zigo Magu? Mafala sana nyie
 
Akili ndogo huwezi elewa kitu
 
Taa hira
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bisi kwenye kikaango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…