Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Simba leo katetewa na mungu tuKwa kweli uwezo wake wa kupanga wachezaji nani acheze kwanza na nani aingie baadae ni mdogo sana.
Mifumo yake ya uchezaji ni duni sana na kwa kweli naona umuhimu Juma Mgunda kurudi kwenye benchi.
Leo Simba imeshinda lakini Yanga ndiyo wamecheza kimfumo bora zaidi.
CC
Scars
Huyu kocha hii falsafa yake imefeli,tunacheza mipira ya kubutua na siyo kumiliki na kutengeneza movement,kwa hii falsafa yake tutakuwa na draw nyingi kwenye ligiKwa kweli uwezo wake wa kupanga wachezaji nani acheze kwanza na nani aingie baadae ni mdogo sana.
Mifumo yake ya uchezaji ni duni sana na kwa kweli naona umuhimu Juma Mgunda kurudi kwenye benchi.
Leo Simba imeshinda lakini Yanga ndiyo wamecheza kimfumo bora zaidi.
CC
Scars
Ndiyo hofu yangu hiyo.Huyu kocha hii falsafa yake imefeli,tunacheza mipira ya kubutua na siyo kumiliki na kutengeneza movement,kwa hii falsafa yake tutakuwa na draw nyingi kwenye ligi
Bocco ana tija sana kwenye timu. Chunguza kwa makini.Alibugi kwa boko tu. Mbali na hapo tumeshuhudia kandanda safi
Basi tuache kulaumu, huu ndo mtazamoBocco ana tija sana kwenye timu. Chunguza kwa makini.
Kwa hiyo waliyofunga siyo magoli?Hama hiyo hoteli ya kuitwa Milembe.Leo tumeshinda kwa mikwaju ya penati lakini ukweli lazima usemwe, timu yetu haichezi mpira unaovutia, ni ukweli usiopingika kuwa kikosi chetu kina watu wa kazi hasa ambao wana uwezo wa kuleta mataji ya kila aina lakini mfumo anaoutumia Robertinho unaikosesha Simba mabao.
Hivi kweli Simba hii ni ya kucheza mechi 2 bila kufunga goli? Robertinho aaambiwe kama wachezaji hawana uwezo apendekeze, kwanini Kanoute apungue makali wakati tuna Abdallah Hamis?
Timu haichezi mchezo mzuri kabisa, mpira tumeelemewa na Yanga mwanzo mwisho Leo.
Mapenzi upofu!!Sio goli tu hata kuleta hatari kwenye lango la mpinzani napo changamoto.
Kwasasa watakuelewa wachache kwasababu ya Ubingwa ila toka Simba day tunalisema hili.
Kweli KABISALeo tumeshinda kwa mikwaju ya penati lakini ukweli lazima usemwe, timu yetu haichezi mpira unaovutia, ni ukweli usiopingika kuwa kikosi chetu kina watu wa kazi hasa ambao wana uwezo wa kuleta mataji ya kila aina lakini mfumo anaoutumia Robertinho unaikosesha Simba mabao.
Hivi kweli Simba hii ni ya kucheza mechi 2 bila kufunga goli? Robertinho aaambiwe kama wachezaji hawana uwezo apendekeze, kwanini Kanoute apungue makali wakati tuna Abdallah Hamis?
Timu haichezi mchezo mzuri kabisa, mpira tumeelemewa na Yanga mwanzo mwisho Leo.
Halafu wamechukua sinia la ubwabwa.kocha ana tatizo kubwa la upangaji Timu ukiangalia mechi ya Leo yanga walikuwa wanajituma zaidi wakati wachezaji wengi wa Simba walikuwa wakisubiri mpira ufike mguuni.
Mpira wa Leo ulikuwa wa Kasi lakini aling'ang'ania kukaa na wachezaji wasio na Kasi kama Saidoo na Boko ambao pia umri umeenda.