mafarisayoo
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 1,190
- 830
Kipi bora ushindi au magoli? Ligi kuu ya msimu ulioisha tulifunga magoli mengi mkatukejeli kwamba magoli ndo kombe letu.. haya leo leo hatujafunga goli tumebeba ngao mnaleta maneno.. tusimame wapi?Simba amechukua UBINGWA Bila KUFUNGA goli lolote.
Nimesikitishwa sana Na uchezaji WA Simba.
Nimekuwa nikilalamika Kila siku hapa Jukwaani kwamba Simba IMESAJILI HOVYO MNO.
Kukosa Kiungo WA MAANA Katikati No 6
Kutawagharimu mno.
NGOMA ANATAKIWA atafutiwe kiungo WA kucheza nae., HUYO kanute HAMNA KITU.
Hehehe takwimu zinasema shoot on target ni Yanga 1 Simba 1 sasa hapo Yanga walikuwa wanakwenda golini kuzurura?Kinacho watisha wenzako ni kwakua timu hakuna dk ata moja iliyo onekana inaweza kupata goli na wachezaji karibu wote walicheza.
Timu ilizidiwa idara zote.
Usifikiri hawana hoja au hawajui mpira ila kila kitu kilikua hadharani.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
kama shabiki wa yanga Nabi alikuwa hamchezeshi Saidoo dakika 90 mara nyingi alimuingiza zimebaki dakik 20 Kwa sababu anajua Kwa umri wake hawezi kucheza muda wote.Mimi ni shabiki wa yanga ila kiukweli hata aje kocha gani hawezi kumuweka benchi saido tusijidanganye humu
B
Kipi bora ushindi au magoli? Ligi kuu ya msimu ulioisha tulifunga magoli mengi mkatukejeli kwamba magoli ndo kombe letu.. haya leo leo hatujafunga goli tumebeba ngao mnaleta maneno.. tusimame wapi?
Wamesahau walitucheka last season wakayaita magoli yetu kuwa ni ya bonanza tu 😂😂😂B
Kipi bora ushindi au magoli? Ligi kuu ya msimu ulioisha tulifunga magoli mengi mkatukejeli kwamba magoli ndo kombe letu.. haya leo leo hatujafunga goli tumebeba ngao mnaleta maneno.. tusimame wapi?
Mkuu huyo huenda ndy boko mwenyewe.Hapa ndipo tunapokwama.
Kama kuna mashabiki kama wewe basi boko ataendelea kucheza na Baleke akiachwa
Umewahi kuona goli za hatua ya penati zimempa mchezaji fulani ufungaji bora?Kwa hiyo waliyofunga siyo magoli?Hama hiyo hoteli ya kuitwa Milembe.
Kaka utapoteza muda wako bure hapo. Hao wanaitwa Mashabiki Matokeo.Kwaiyo una amini Alivyo cheza Simba ni kama Argentina? [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sio mara zote timu mtazokutana nazo zitapoteza nafasi za kufunga kama Yanga. Yanga alifanya kila kitu hadi zinapatikana nafasi za one on one na kipa anapoteza. Ushabiki Matokeo usifanyaje ushindwe kuona mapungufu ya timu yako.Yanga waliocheza vizuri na kutuelemea walishinda bao ngapi? Ngao ya jamii?
We jamaa Jana ndo nimekukubali baada ya kuangalia game na kama Mzee Robert ataendelea kukaza fufu kuna balaa zito Sana litawakumba.Simba amechukua UBINGWA Bila KUFUNGA goli lolote.
Nimesikitishwa sana Na uchezaji WA Simba.
Nimekuwa nikilalamika Kila siku hapa Jukwaani kwamba Simba IMESAJILI HOVYO MNO.
Kukosa Kiungo WA MAANA Katikati No 6
Kutawagharimu mno.
NGOMA ANATAKIWA atafutiwe kiungo WA kucheza nae., HUYO kanute HAMNA KITU.
Mpira umeingiliwa na kina MamaKwa hiyo waliyofunga siyo magoli?Hama hiyo hoteli ya kuitwa Milembe.
Utakuja kuelewa baadae sasa hivi upo honeymoonNami nakuuliza wewe ,msimu uliopita Simba ilipoongoza kwa kutengeneza nafasi na kufunga magoli mengi (rekodi kwa ligi yetu na hata Africa kwa miaka ya karibuni) mbona haikuchukua ubingwa wowote ikiwa utengenezaji nafasi na ufungaji wa magoli ni vitu muhimu sana kwa timu kufanikiwa kutwaa mataji?
Binafsi naamini ishu ya kuteneneza nafasi ni ishu ndogo tu inayorekebishika mazoezini muhimu strategy ya kushinda in our situatian we have tumeikamilisha .Timu zote zilikuwa Tanga kusaka taji na kalichukua Simba
Yah.. kinachoibeba simba ni kipa na mabeki, washambuliaji ni butuMpira Magoli
Sizungumzii kufungwa,ukuta wa Simba ni bora sana kwasasa,nazungumzia kupata magoli hata goli la kukataliwa alipo,inamaana ipo shida mahali kwenye safu ya ufungaji ya Simba.Kafungwa mangapi kwa hizo dakika
Umewahi kuona goli za hatua ya penati zimempa mchezaji fulani ufungaji bora?
Mimi hii mtu tatu,: mangungo, kajura na try again naamini ndiyo wanaiangusha simba. Kama vipi Mo na uongozi wa simba wawafungulie genge la kuuza magimbi kariako, watuachie simba yetu.Shida ya klabu kubwa kuongozwa na makanjanja akina mangungo