Tuache ushabiki na unazi, benchi la ufundi Simba lijitathmini kabla mambo hayajaribika

Tuache ushabiki na unazi, benchi la ufundi Simba lijitathmini kabla mambo hayajaribika

B
Simba amechukua UBINGWA Bila KUFUNGA goli lolote.

Nimesikitishwa sana Na uchezaji WA Simba.

Nimekuwa nikilalamika Kila siku hapa Jukwaani kwamba Simba IMESAJILI HOVYO MNO.

Kukosa Kiungo WA MAANA Katikati No 6
Kutawagharimu mno.
NGOMA ANATAKIWA atafutiwe kiungo WA kucheza nae., HUYO kanute HAMNA KITU.
Kipi bora ushindi au magoli? Ligi kuu ya msimu ulioisha tulifunga magoli mengi mkatukejeli kwamba magoli ndo kombe letu.. haya leo leo hatujafunga goli tumebeba ngao mnaleta maneno.. tusimame wapi?
 
Kinacho watisha wenzako ni kwakua timu hakuna dk ata moja iliyo onekana inaweza kupata goli na wachezaji karibu wote walicheza.
Timu ilizidiwa idara zote.
Usifikiri hawana hoja au hawajui mpira ila kila kitu kilikua hadharani.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hehehe takwimu zinasema shoot on target ni Yanga 1 Simba 1 sasa hapo Yanga walikuwa wanakwenda golini kuzurura?

Mechi ya Singida Simba walikuwa busy kushambulia ila mashambulizi hayakuzalisha goli bado tulisema Simba haijacheza vizuri.Vipi tukiwapongeza waliocheza na Simba kwamba walikuja na mkakati kabambe dhidi ya Simba na ndiyo maana mechi iliyofuata wamechapwa kirahisi kabisa !?
 
B
Kipi bora ushindi au magoli? Ligi kuu ya msimu ulioisha tulifunga magoli mengi mkatukejeli kwamba magoli ndo kombe letu.. haya leo leo hatujafunga goli tumebeba ngao mnaleta maneno.. tusimame wapi?
B
Kipi bora ushindi au magoli? Ligi kuu ya msimu ulioisha tulifunga magoli mengi mkatukejeli kwamba magoli ndo kombe letu.. haya leo leo hatujafunga goli tumebeba ngao mnaleta maneno.. tusimame wapi?
Wamesahau walitucheka last season wakayaita magoli yetu kuwa ni ya bonanza tu 😂😂😂
 
Hii timu kwenye kukaba sijui wanafundishwaje huko maźoezini, timu inakabia macho, kupora mpira labda mpinzani akosee au apige cross lakini kuchukua mguuni haiwezi.
 
Yanga waliocheza vizuri na kutuelemea walishinda bao ngapi? Ngao ya jamii?
Sio mara zote timu mtazokutana nazo zitapoteza nafasi za kufunga kama Yanga. Yanga alifanya kila kitu hadi zinapatikana nafasi za one on one na kipa anapoteza. Ushabiki Matokeo usifanyaje ushindwe kuona mapungufu ya timu yako.
 
Simba amechukua UBINGWA Bila KUFUNGA goli lolote.

Nimesikitishwa sana Na uchezaji WA Simba.

Nimekuwa nikilalamika Kila siku hapa Jukwaani kwamba Simba IMESAJILI HOVYO MNO.

Kukosa Kiungo WA MAANA Katikati No 6
Kutawagharimu mno.
NGOMA ANATAKIWA atafutiwe kiungo WA kucheza nae., HUYO kanute HAMNA KITU.
We jamaa Jana ndo nimekukubali baada ya kuangalia game na kama Mzee Robert ataendelea kukaza fufu kuna balaa zito Sana litawakumba.
 
Nami nakuuliza wewe ,msimu uliopita Simba ilipoongoza kwa kutengeneza nafasi na kufunga magoli mengi (rekodi kwa ligi yetu na hata Africa kwa miaka ya karibuni) mbona haikuchukua ubingwa wowote ikiwa utengenezaji nafasi na ufungaji wa magoli ni vitu muhimu sana kwa timu kufanikiwa kutwaa mataji?

Binafsi naamini ishu ya kuteneneza nafasi ni ishu ndogo tu inayorekebishika mazoezini muhimu strategy ya kushinda in our situatian we have tumeikamilisha .Timu zote zilikuwa Tanga kusaka taji na kalichukua Simba
Utakuja kuelewa baadae sasa hivi upo honeymoon

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mpira Magoli
Yah.. kinachoibeba simba ni kipa na mabeki, washambuliaji ni butu

Ina maana simba itakuwa na sululu nyingi kama wafungaji hawatabadilika.
 
KOCHA MPYA WA SIMBA ROBETINYO NDO MBABE WA YANGA ANAWAPATIA SANA HAWA ANAJUA JINSI YA KUWAZIBITI WASIFURUKUTE.

KWENYE LIGI KAWAPIGA NA KWENYE NGAO IVOIVO.

MNAOSEMA SIMBA KATIKA DKK 180 HAJAFUNGA INABIDI MJIULIZE JE KATIKA HIZO DAKIKA 180 AMEFUNGWA GOLI LOLOTE??

MNYAMA HANA MPINZANI[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
 
Umewahi kuona goli za hatua ya penati zimempa mchezaji fulani ufungaji bora?

Ndio .

Saidooo amechukua ufungaji bora katika msimu huu .
IMG_3121.png
 
Shida ya klabu kubwa kuongozwa na makanjanja akina mangungo
Mimi hii mtu tatu,: mangungo, kajura na try again naamini ndiyo wanaiangusha simba. Kama vipi Mo na uongozi wa simba wawafungulie genge la kuuza magimbi kariako, watuachie simba yetu.
 
Back
Top Bottom