Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Sawa ni. Mbaya furahi sasaMimi ni shabiki lakini lazima ukweli usemwe, Simba tunakwama wapi kwenye kutengeneza jezi kali? Hizi zinatofauto gani na yale matambara ya kwenye mitumba karume? Kwamba designer amelipwa mamilioni kutoa huu uchafu?
Sijui tunakwama wapi.
View attachment 3050938
#UBAYA UBWEGE