Mimi ni shabiki lakini lazima ukweli usemwe, Simba tunakwama wapi kwenye kutengeneza jezi kali? Hizi zinatofauto gani na yale matambara ya kwenye mitumba karume? Kwamba designer amelipwa mamilioni kutoa huu uchafu?
Sijui tunakwama wapi.
View attachment 3050938
#UBAYA UBWEGE