Rafiki Labani og unsubscribe uzi wako nitarudi hapa kwa matokeo yoyote kuzungumza kile nisichoweza kusema leoKwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani ayubu fc watakula nyingi...... possibility ya Simba kushinda ni sawa taifa stars kuchukua Kombe la AFCON...
Simba wanaahinda hii mechiKwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani ayubu fc watakula nyingi...... possibility ya Simba kushinda ni sawa taifa stars kuchukua Kombe la AFCON...
Jambo kubwa ni kwamba Simba imetinga Robo Fainali ya michuano ya African Football League. Zaidi ya hapo ni bonus (kwa sauti ya Hersi) 😁Kwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani ayubu fc watakula nyingi...... possibility ya Simba kushinda ni sawa taifa stars kuchukua Kombe la AFCON
Sawa Mkuu ila futa tumaini la mnyama kushindaRafiki Labani og unsubscribe uzi wako nitarudi hapa kwa matokeo yoyote kuzungumza kile nisichoweza kusema leo
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nakubaliana naww mkuu......Cha muhimu mmekunja pesa za maandalizi...... safari yenu imeishaJambo kubwa ni kwamba Simba imetinga Robo Fainali ya michuano ya African Football League. Zaidi ya hapo ni bonus (kwa sauti ya Hersi) [emoji16]
ok sawaKwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani ayubu fc watakula nyingi...... possibility ya Simba kushinda ni sawa taifa stars kuchukua Kombe la AFCON
Al ahly Wana Percy Tau a.k.a goal machine .....huku ayubu fc Wana baleke na kibu ( ambaye kwenye chance 6 anakosa zote imagine Simba Haina Bacca, mwamnyeto, job max na yao ......( Ukuta wa yericko)
NB: mnyama Ili kupunguza mvua kubwa ya magoli... inabidi waingie na plan ya kupaki basi coz atake atapigwa heavily asitake atapigwa heavily
Mpira hauko hivyo ndio Maana wakaweka vigezo Fulani Yanga kufungwa na Ihefu ndio dhana yako ktk mizani haiwezekani Ila uhalisi ilitokeaKwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani ayubu fc watakula nyingi...... possibility ya Simba kushinda ni sawa taifa stars kuchukua Kombe la AFCON
Al ahly Wana Percy Tau a.k.a goal machine .....huku ayubu fc Wana baleke na kibu ( ambaye kwenye chance 6 anakosa zote imagine Simba Haina Bacca, mwamnyeto, job max na yao ......( Ukuta wa yericko)
NB: mnyama Ili kupunguza mvua kubwa ya magoli... inabidi waingie na plan ya kupaki basi coz atake atapigwa heavily asitake atapigwa heavily
Nakubaliana naww mkuu......Cha muhimu mmekunja pesa za maandalizi......
Sisi wachambuzi ni kazi yetu kuusemea mpiraMtani naona Kila ukikaa unaiwaza Simba, hivi huko kwenu hamna habari yoyote zaidi ya kuizungumzia Simba. Kwa sababu rais wa FIFA atakuja tutawaombea nafasi na nyinyi mshiriki mwakani ili muonekane mnakaribia kupingana na sisi