Tuache utani Simba kushinda Kwa Al ahly haiwezekani

Tuache utani Simba kushinda Kwa Al ahly haiwezekani

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani Ayubu fc watakula nyingi. Possibility ya Simba kushinda ni sawa Taifa stars kuchukua Kombe la AFCON

Al ahly Wana Percy Tau a.k.a goal machine huku Ayubu fc Wana Baleke na Kibu (ambaye kwenye chance 6 anakosa zote imagine Simba Haina Bacca, Mwamnyeto, Job, Max na Yao (Ukuta wa Yericko)

NB: Mnyama Ili kupunguza mvua kubwa ya magoli, inabidi waingie na plan ya kupaki basi coz atake atapigwa heavily asitake atapigwa heavily
 
Kwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani ayubu fc watakula nyingi...... possibility ya Simba kushinda ni sawa taifa stars kuchukua Kombe la AFCON...
Rafiki Labani og unsubscribe uzi wako nitarudi hapa kwa matokeo yoyote kuzungumza kile nisichoweza kusema leo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani ayubu fc watakula nyingi...... possibility ya Simba kushinda ni sawa taifa stars kuchukua Kombe la AFCON
Jambo kubwa ni kwamba Simba imetinga Robo Fainali ya michuano ya African Football League. Zaidi ya hapo ni bonus (kwa sauti ya Hersi) 😁
 
Jambo kubwa ni kwamba Simba imetinga Robo Fainali ya michuano ya African Football League. Zaidi ya hapo ni bonus (kwa sauti ya Hersi) [emoji16]
Nakubaliana naww mkuu......Cha muhimu mmekunja pesa za maandalizi...... safari yenu imeisha
 
Kwasisi wachambuzi Kila tukiitazama hii mechi unaona inabend upande mmoja yaani ayubu fc watakula nyingi...... possibility ya Simba kushinda ni sawa taifa stars kuchukua Kombe la AFCON

Al ahly Wana Percy Tau a.k.a goal machine .....huku ayubu fc Wana baleke na kibu ( ambaye kwenye chance 6 anakosa zote imagine Simba Haina Bacca, mwamnyeto, job max na yao ......( Ukuta wa yericko)

NB: mnyama Ili kupunguza mvua kubwa ya magoli... inabidi waingie na plan ya kupaki basi coz atake atapigwa heavily asitake atapigwa heavily
ok sawa
 
Mpira hauko hivyo ndio Maana wakaweka vigezo Fulani Yanga kufungwa na Ihefu ndio dhana yako ktk mizani haiwezekani Ila uhalisi ilitokea
 
Mtani naona Kila ukikaa unaiwaza Simba, hivi huko kwenu hamna habari yoyote zaidi ya kuizungumzia Simba. Kwa sababu rais wa FIFA atakuja tutawaombea nafasi na nyinyi mshiriki mwakani ili muonekane mnakaribia kupingana na sisi
 
Nakubaliana naww mkuu......Cha muhimu mmekunja pesa za maandalizi......

Umeisoma hapo Quarter Final? Baadae siku za usoni tusije tukaanza kubishana 😁

1697208756982.png
 
Back
Top Bottom