Tuache utani Simba kushinda Kwa Al ahly haiwezekani

Facts kabisa
 
Kwa hiyo utopolo wataifunga Al Ahly siyo?
 
Pale utopolo yanapojifariji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania mpira umekuwa sana. ajabu yake, al ahly alikuwa anagomboa na mwishoni alizidiwa akawa anachezewa nusu uwanja na analinda goli. simba wangekuwa na beki wazuri, wala wasingefungwa hata yale.
 
Tanzania mpira umekuwa sana. ajabu yake, al ahly alikuwa anagomboa na mwishoni alizidiwa akawa anachezewa nusu uwanja na analinda goli. simba wangekuwa na beki wazuri, wala wasingefungwa hata yale.
Pia Al ahly wangekua makini wangeshinda 5
 
Simba itakushangaza itaporudi na ushindi.

Naamini Simba wanashinda.
Haiwezekani.... haiwezekani kama kashindwa Kwa mkapa ...

Simba hana rekodi za kushinda ugenini....Tena Kwa waarabu
 
Sawa Simba atafungwa,haya kamhudumie mumeo sasa naona umekomaa na Simba tu utafikiri Simba ndiyo imekuwowa,mjali mumeo dada.
 
hapana, jana walikamatwa. al ahly tunayoifahamu sio ya kugomboa na kulinda goli kwa simba.
Basi huwajui waarabu......wenyew ugenini wanahitaji sare tu....kuliko ku lose
 
Sawa Simba atafungwa,haya kamhudumie mumeo sasa naona umekomaa na Simba tu utafikiri Simba ndiyo imekuwowa,mjali mumeo dada.
Hawa Al Ahly[emoji1093]siku wakikutana Yanga SC[emoji1241]pale kwa makapa watapasuliwa za kutosha kwa sababu kuna muda wanajisahau kuziba nafasi hasa ukiwashambulia kwa kasi

Na ni moja ya siraha ya Yanga ni kasi wanashambulia kwa speed sana kiasi kwamba ukiwaachia tu nafasi kidogo lazima wakufunge"

[emoji2399]Alex Ngereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…