Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,914
- 2,630
Kwanini wingi na siyo bora? Kipi kinafanya Star times kiwe na wingi ingali siyo bora.Startimes amempita Azam kwenye wingi lakini sio kwenye Ubora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wingi na siyo bora? Kipi kinafanya Star times kiwe na wingi ingali siyo bora.Startimes amempita Azam kwenye wingi lakini sio kwenye Ubora.
Startimes ilianza muda kabla ya azam hivyo lazima kuwe na gepu.Kwanini wingi na siyo bora? Kipi kinafanya Star times kiwe na wingi ingali siyo bora.
Umenena vizuri sana mkuu. Binafsi nashangaa wanaosema sijui king'amuzi fulani ni bora kuliko hiki? ile hali kila kimoja kina selling point yake. ila kama hoja ni mpira basi tufanye kampuni zote hizi zinaonesha EPL, NBC PL NA UEFA. enhe... tutaendelea kubishana... ha haKila mtu hununua king'amuzi kulingana na uhitaji wake (sababu serikali imefeli kupunguza utitiri uliopo)...
Hivyo kila king'amuzi ni bora kwa watu fulani fulani kulingana na sababu iliyompelekea kununua...
Watu hununua;
1. Azam - Haswa sababu ya ligi kuu ya Tanzania, vingine vinavyopatikana huko ni ziada...
2. DSTV - Sababu ya EPL, vingine ni ziada
3. Startimes - Hii mimi huwa najua wapenzi wa NBA, local TV sijui kina ITV na wenzao, wapenzi wa zile tamthiliya za kifilipino, wapenzi wa BSS na sababu nyingine ulizotaja
4. Zuku - Sijui hata kwa nini watu hununua hii, kama ni mpira unaooneshwa huko kama sijakosea ligi hizo zipo DSTV kidogo, Startimes na Azam
Kama unapenda documentary za wanyama, katuni kwa ajili ya watoto, yale maseries ya sijui kifilipino vyote hivyo vipo kwa kila king'amuzi hapo juu...
Continental, Ting, Digi nini sijui wale, hivi hata huwa sijui kama vipo bado na hata sifahamu maudhui yake...
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana
Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA
Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu
Local channels bure kabisa
Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
Azam ina raha kwa wapenzi wa NBC premier league tu ukitoa apo hawana maajabu yoyote [emoji706]Azam ni king'amuzi cha ovyo mno kati ya ving'amuzi tulivyonavyo hapa nchini. Hawana maudhui ya maana nje ya soka la bongo!