Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

Startimes ni HD kaka labda kama unatumia chogo
huwezi kunidanganya boss nimetumia hiyo takataka tangu 2012 Chanel hovyo hovyo. TV ya chogo sasa natumia azam picha clear Chanel zenye akili.
Kama wewe startimes kimekuvutia endelea kuwachangia.
 
Una miaka mingapi mkuu?

Ngoja nitabiri, wewe lazima utakuwa under20 kikawaida hivi vijamaa vinadhani opinions, perspective au mitazamo yao huwa ni kama fact kwa kila mtu hivyo vinakuwa vinaropoka jinsi vinajisikia vikidhani kila wanachokisema kitakuwa ni Fact na Ukweli kwa wote.

So it's not your fault just grow up first.
Wee kweli ni teenager.Haina haja ya kuuliza umri wako. Kuwa kwanza ndo uje na hoja za kikubwa.
 
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana

Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA

Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu

Local channels bure kabisa

Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
Ubora wa picha vipi?
 
Startimes na DStv ni bora sana kaka vitadumu sana hivyo vingine ni swala la muda tu
Sasa Unawatangazia Watanzania Hicho kisimbuzi chako
Huku ukipondea Wanacho kipenda Ligi kuu ya Tanzania We Umerogwa
Kama Unapenda ww hiyo Startime kivyako
wengine Tunaona Kama Takataka tu
 
Startimes na DStv kuna kila kitu
Seriously mkuu unadhani wote walionunua Azam ni kwa ajili ya Mpira?.
Unaacha Documentaries, Music, Movies za hollywood na ndani, Maudhui ya dini zote, News channels, Children's channels.
Na mimi huwezi nikuta mbele ya tv kama hakuna Documentaries au Movies.

You know what's useless mkuu? you'll figure out.
 
Hiyo mikataba ya kufisadi karia aliyohongwa kuuza TV rights kwa kampuni moja wait and see
Kama hawana ligi ya bongo Ni bure tu.
Wakitaka wampiku Azam waweke lig ya Bongo lakin najua haiwezekan maana mwenye mkataba Ni Azam pekee
 
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana

Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA

Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu

Local channels bure kabisa

Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
DStv na AZAM hivyo vingine hata unipe bure,
Nilianza na star time nilikigawa bure.
 
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana

Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA

Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu

Local channels bure kabisa

Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
Sio kweli aise star time iko mwisho
 
Back
Top Bottom