Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

Epl kwa subsaharan sio rahisi kupokonya dstv
Wameinvest haswa wengi waliotaka kushindana waliishia kufunga kampuni refer G sports
Tamthilia za ki Hindi sizipendi na ndio makao makuu ya Startimes.
Ligi kuu Tz na EPL ndo ligi zangu pendwa hao jamaa hawana. Ni bora nibaki na azam ambao kidogo wanazingatia maadili. Hawaoneshagi tamthilia zenye kupigana denda hovyo hovyo hii ni hatar sana kwa watoto majumbani.
 
There you're, Startimes imekamilika kila idara
Sioni haja ya kuangalia uchafu unaoitwa ligi ya Tanzania
Mechi mbili za kuangalia kwa msimu ndio ununue king'muzi?
Kwa upande wa football, ukitoa DSTV king'amuzi kinachofuata kwa kuonyesha mashindano mengi ya Football ni Startimes Tena kwa HD ya ubora, wanaonyesha Bundasiliga, Laliga, Chinese super league, Copa Italia, Copa delay, Mashindano ya Euro, Word cup qualify for Europe, Word cup qualify for Asian , Word cup, kwa upande wa Africa wanaonyesha ligi ya Kenya na Uganda Na pia wametangaza kwamba wataonyesha AFCON mechi zote 52, Mimi sipo kwenye udini nipo ki uharisia, mimi ni mtumiaji mzuri wa Startimes, nilitaka kununua king'amuzi cha azam family yangu imegoma kabisa, Ligi kuu Tanzania bara nimeamua niwe naangalia vibanda umiza
 
Mi natumiaga dishi la Startimes ila king'amuzi cha Zuku. Ntalipia Startimes nione tofauti maana nao hawana maudhui ya mashariki ya kati kama wale jamaa ambao kila mtu anajifanya mwarabu
Bali wana tamthilia za kiphilipino. Na humo hukosi kale kamchezo ka mapadri
 
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana

Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA

Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu

Local channels bure kabisa

Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
Sisi wa Antenna twenty tu......umesahau kuwa pia wanaonesha Championship...
 
Wengi hawajui hili ukitoa DStv ambayo ni worldwide Startimes ni king'muzi bora sana

Ukiwa na Startimes kwa shilingi 21,000 unaangalia
Ligi kubwa za ulaya
Lalita spain
Bundaslige ujerumani
Ligi uholanzi
Ligi ya mpira wa kikapu NBA USA

Chanel za watoto,tamlithilia, habari na vingine vingine kwa 21,000tu

Local channels bure kabisa

Kikubwa zaidi haina maudhui ya udini
Skia sasa!!

Kwa buku 20 tuu, yaani mashuka mawili ya kimasai unaangalia..

NBC Premier league

Bundesliga

Ligue 1

Serial A

NBA

AFCON

CAFCL

ZANZIBAR league

#burudanikwawote
 
Azam ni Babalao Bongo, nine nunua decoder ya Startime mpaka nimejuta. ila kwa sasa na Enjoy na Azam Tv. Kwa Bongo Azam inakuja kwa kasi sana, Wame invest pesa nyingi sana kwanye Entertainment ya Tanzania, na Return wanaziona.
 
Azam ni Babalao Bongo, nine nunua decoder ya Startime mpaka nimejuta. ila kwa sasa na Enjoy na Azam Tv. Kwa Bongo Azam inakuja kwa kasi sana, Wame invest pesa nyingi sana kwanye Entertainment ya Tanzania, na Retain wanaziona.
Kwa muonekano wa picha za azam siwezi spend hata 5minutes naangalia TV 🤣 🤣 🤣 ,Babalao ongelea DSTV huko
 
Wanavimbishwa kichwa na ile ligi isiyokuwa na mbele wala nyuma ila maudhui ni sifuri

Kwa muonekano wa picha za azam siwezi spend hata 5minutes naangalia TV [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] ,Babalao ongelea DSTV huko
 
Nunua king'amuzi kulingana na mahitaji yako.

Mtu mzima unalalamika kuhusu king'amuzi fulani sikipendi au kina maudhui fulani siyapendi kwani nani anayekulazimisha uangalie au ukinunue?

Tusipangiane maisha, ununue mwenyewe uje ulalamike JF.

Fanya yale yatakayokufurahisha wewe ila usitake na sisi jirani zako tufuate yale unayotaka wewe.

Tusipangiane matumizi ya akili wala fedha
 
Fact Startimes in the coming years watakuwa ndio bora tanzania na africa
This is a shit joke.

Startimes ilianza kabla ya Azam lakini mpaka leo hakuna cha maana.
Kama azam alikuja 2013 na amekuja kumpita startimes hapohapo basi usitegemee mabadiliko yoyote kutoka kwao.

Nina king'amuzi cha startimes na azam lakini startimes imenishinda kwa maudhui mabovu na quality mbovu na wakati natumia Smart tv na hdmi lakini bado hakuna kitu.
Na uwezi kuongelea ubora wa kitu kwa kitu kimoja tu kama mpira huu ni ujinga.
Mimi huwezi kuniweka kwenye tv niangalie mpria bali kuna wapenda movies, music , documentaries, science na maudhui ya kidini considering azam ina maudhui ya dini zote unless wewe ni religious ignorant.

Hii mada imekaa kwenye chuki dhaifu na kijinga za dini, I know what I'm talking about.
 
Startimes ina kila aina ya burudani kaka na sio biased km wengine

Back
Top Bottom