Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

Kila mtu hununua king'amuzi kulingana na uhitaji wake (sababu serikali imefeli kupunguza utitiri uliopo)...

Hivyo kila king'amuzi ni bora kwa watu fulani fulani kulingana na sababu iliyompelekea kununua...

Watu hununua;

1. Azam - Haswa sababu ya ligi kuu ya Tanzania, vingine vinavyopatikana huko ni ziada...

2. DSTV - Sababu ya EPL, vingine ni ziada

3. Startimes - Hii mimi huwa najua wapenzi wa NBA, local TV sijui kina ITV na wenzao, wapenzi wa zile tamthiliya za kifilipino, wapenzi wa BSS na sababu nyingine ulizotaja

4. Zuku - Sijui hata kwa nini watu hununua hii, kama ni mpira unaooneshwa huko kama sijakosea ligi hizo zipo DSTV kidogo, Startimes na Azam

Kama unapenda documentary za wanyama, katuni kwa ajili ya watoto, yale maseries ya sijui kifilipino vyote hivyo vipo kwa kila king'amuzi hapo juu...

Continental, Ting, Digi nini sijui wale, hivi hata huwa sijui kama vipo bado na hata sifahamu maudhui yake...
 
Kwanini wingi na siyo bora? Kipi kinafanya Star times kiwe na wingi ingali siyo bora.
Startimes ilianza muda kabla ya azam hivyo lazima kuwe na gepu.
Hata mimi ninayo Startimes vilevile.

Na sio kwamba Startimes ni kibouv kwa kutisha, hapana.
 
Umenena vizuri sana mkuu. Binafsi nashangaa wanaosema sijui king'amuzi fulani ni bora kuliko hiki? ile hali kila kimoja kina selling point yake. ila kama hoja ni mpira basi tufanye kampuni zote hizi zinaonesha EPL, NBC PL NA UEFA. enhe... tutaendelea kubishana... ha ha
 
Mimi niko mbioni kupiga Chini Azam maana wao Uislamu umejaaa sanaa.
Na siku mkataba wao na TFF ukaisha na ndo anguko lao
 
Azam ni king'amuzi cha ovyo mno kati ya ving'amuzi tulivyonavyo hapa nchini. Hawana maudhui ya maana nje ya soka la bongo!
 
Azam ni king'amuzi cha ovyo mno kati ya ving'amuzi tulivyonavyo hapa nchini. Hawana maudhui ya maana nje ya soka la bongo!
Azam ina raha kwa wapenzi wa NBC premier league tu ukitoa apo hawana maajabu yoyote [emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…