Sio rahisi, Lissu hafikii bei na sio mwoga,Mimi nataka siku nimsikie magufuli anamsifia lissu na lissu anamsifia magufuli na wana alikana pale ikulu magogoni dar sio kule anapo papromo yeye chamwino Dom
Mkuu hapana sijamaanisha afike bei ni kujiweka mazingira mazuri magufuli ili nchi wa hisani watu rudi shie misaada na yeye astafu vizur Kama kikwete vile ndivyo na maanishaSio rahisi, Lissu hafikii bei na sio mwoga,
Yaaani watakuwa wanalaani why Mzee u,etutoka kwenye kipindi kama Hichi cha kupatwa kwa jua HAPA Lisuhapa JPM NIKIKUMBUKA YALE MANENO YA SIKU ILE YARIPOTI YA Prof USOROWenye msiba wao wanatamani wangekuwa wameshazika saa hii.
[emoji3] professorial rubbishYaaani watakuwa wanalaani why Mzee u,etutoka kwenye kipindi kama Hichi cha kupatwa kwa jua HAPA Lisuhapa JPM NIKIKUMBUKA YALE MANENO YA SIKU ILE YARIPOTI YA Prof USORO
Hakuna cha uchaguzi kuwa mgum wala kuwa mwepesi. Jaman msijisahu kuwa watanzania wengi tunapenda ushabiki tu na Unaweza kuwa una wafuasi wengi lakin wapiga kura wachache.IKIWA HIVYO UCHAGUZI UTAKUWA SI MWEPESI.
Kwa hiyo kwa ulinzi huo aliona jiwe ambao hakuna rais yoyote yule Tz, ameshawahi kuwa nao ni BONGE LA UOGA?!!!kama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
Jamaa ni kilaza wa kutupwa.duh kweli laki si pesa