Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,492
Reaction score
2,361
kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.

CHADEMA mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mhe. Nyalandu please muunge mkono TL
 
KESHO LISU ATALETA HESHMA YA MSIBA HUU JANA NA LEO MZIBA ULIPWAYA SANA YAAANI WATU WANAHIMIZWA KWENDA KUTOA HESH,A ZA MWISHO KUNA KITU WANAMISS Lisu lesho atawajazia UWANJA MUMPATIA NA HESMA YA KUTOA HOTUBA KAMA ALIVYOFANYA Julius Malema siku ya mazishi ya mam Winnie Mandela itanoga ssna
 
Mimi nataka siku nimsikie magufuli anamsifia lissu na lissu anamsifia magufuli na wana alikana pale ikulu magogoni dar sio kule anapo papromo yeye chamwino Dom
 
Sio rahisi, Lissu hafikii bei na sio mwoga,
Mkuu hapana sijamaanisha afike bei ni kujiweka mazingira mazuri magufuli ili nchi wa hisani watu rudi shie misaada na yeye astafu vizur Kama kikwete vile ndivyo na maanisha
 
IKIWA HIVYO UCHAGUZI UTAKUWA SI MWEPESI.
Hakuna cha uchaguzi kuwa mgum wala kuwa mwepesi. Jaman msijisahu kuwa watanzania wengi tunapenda ushabiki tu na Unaweza kuwa una wafuasi wengi lakin wapiga kura wachache.
 
Anapenda sana wazungu.. atatuuza na kutumaliza.. hana uongozi bali kushibisha tummy yake tu..
 
Back
Top Bottom