kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.
Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL
siasa ni ushabiki. mpinzani wako akiwa na mashabiki wengi uchaguzi unakuwa mgumu bila kujali utatangazwa kuwa raisi. cc 2015.Hakuna cha uchaguzi kuwa mgum wala kuwa mwepesi. Jaman msijisahu kuwa watanzania wengi tunapenda ushabiki na Unaweza kuwa una wafuasi wengi lakin upiga kura wachache.
Mbona wewe una muamini mungu kuwa ni mlinzi wa maisha yako . but chaajabu na kushangaza nyumbani kwako haulali mlango wazikama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
Watu wengi tunapenda tushabikia tu ila kura unakuta mtu anampa mwingne.siasa ni ushabiki. mpinzani wako akiwa na mashabiki wengi uchaguzi unakuwa mgumu bila kujali utatangazwa kuwa raisi. cc 2015.
Kichwa umebaki kufungia nywele na kunyoa kidukukama ni jasiri kwa nini anatembea na walinzi?
Hakuna cha uchaguzi kuwa mgum wala kuwa mwepesi. Jaman msijisahu kuwa watanzania wengi tunapenda ushabiki tu na Unaweza kuwa una wafuasi wengi lakin wapiga kura wachache.
Lissu pia ni mtu mwenye huruma. Anaweza kuwasamehe tukaendelea kujenga nchi.kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.
Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL
Mwenyekiti Jaji Mstaaf Kaijage ametangaza wapiga kura halali ni 29MRegistered eligible voters ni almost 22,000,000....
Hao wanawezaje kuwa wachache boss??
Point ni hii hapa;
Watu hupiga kura sana tu na humchagua wamtakae....
Lakini siku zote, anayetangazwa ni yule ambaye kura hazikumtosha....
Hili ndilo tatizo lililo mbele ya kila mpiga kura.....
Mimi nadhani, tufikiri namna ya kuutafutia dawa, kisha kuukomesha na mwisho kuuondoa kabisa kabisa uharamia huu ambao hufanywa mchana kweupe....!!
Umekosa hoja. Vioja hivyo vimeshapitwa na wakati.Anapenda sana wazungu.. atatuuza na kutumaliza.. hana uongozi bali kushibisha tummy yake tu..
Na sisi tuanze kunenepa sasa. Maana it has been a longtime.Asante Lissu umeamsha matumaini ya Watanzania.Sasa naanza rasmi kufatilia siasa.
Nami ndo khofu yangu juu ya hilo tu Wazungu ni watu wa hila sanaa ni kama watakua wamempandikiza kijana wao lakini ukiondoa hilo naye ni kiongoz mzuriLakin hawa wanao sapotiwa sana na wazungu mm huwa siwaamin kwa 100% maana kwa mzungu hakunaga free meals, ukiona wanakuunga mkono sana jua utawalipa siku ukifanikisha, kama sio kwa raslimali bas kwa kupitisha sela kama zao
Umekosa hoja. Vioja hivyo vimeshapitwa na wakati.
Wewe uko nafsini mwake??Ha ha haaaa unawishi..
Nafsi yake inajua bazungu tu..
Hujamsikia twitter kule anasema eti chadema wamepanga kumpa sumu yaani lile jamaa lina makamasi kwa ubongoHata mi nimeamini huyu mtu sio wa kawaida,sikutegemea kama angerudi na polisy pamoja na vitisho vyao wameufyataaaaaa
Wapi mwanaharakati huru jamaniiii......
Mnasemaga hivyo hivyo. Zanzibar Maalif Seif alishinda vipi?? Uchaguzi wa Zanzibar Lowasa alimshinda Magufulu kwa maelifu ya Kura. Waliopiga ni maroboti?Watu wengi tunapenda tushabikia tu ila kura unakuta mtu anampa mwingne.
Kama kura zisingekuwa ni siri ndio watu wangejua unafiki wa wapigaji kura
Tukisema MATAGA ni kikwazo cha maendeleo tuelewane wakuu ndo kama hivi yaaniNani ampe nchi??
Mpe mkeo , mama yako na dada yako
Ondoeni wasi wasi uongozi na uimara wa lissu haujaanza leo. Ni wa kihistoria.Nami ndo khofu yangu juu ya hilo tu Wazungu ni watu wa hila sanaa ni kama watakua wamempandikiza kijana wao lakini ukiondoa hilo naye ni kiongoz mzuri