Tuache utani! TL ni shujaa, ni mwanaume wa shoka. Hakika he is a living miracle. Akipewa Nchi hatamuonea mtu aibu wala kuogopa

kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.

Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL

Nani ampe nchi??
Mpe mkeo , mama yako na dada yako
 
Hakuna cha uchaguzi kuwa mgum wala kuwa mwepesi. Jaman msijisahu kuwa watanzania wengi tunapenda ushabiki na Unaweza kuwa una wafuasi wengi lakin upiga kura wachache.
siasa ni ushabiki. mpinzani wako akiwa na mashabiki wengi uchaguzi unakuwa mgumu bila kujali utatangazwa kuwa raisi. cc 2015.
 
Lakin hawa wanao sapotiwa sana na wazungu mm huwa siwaamin kwa 100% maana kwa mzungu hakunaga free meals, ukiona wanakuunga mkono sana jua utawalipa siku ukifanikisha, kama sio kwa raslimali bas kwa kupitisha sela kama zao
 
Watu wengi tunapenda tushabikia tu ila kura unakuta mtu anampa mwingne.
Kama kura zisingekuwa ni siri ndio watu wangejua unafiki wa wapigaji kura
 
Hakuna cha uchaguzi kuwa mgum wala kuwa mwepesi. Jaman msijisahu kuwa watanzania wengi tunapenda ushabiki tu na Unaweza kuwa una wafuasi wengi lakin wapiga kura wachache.

Registered eligible voters ni almost 22,000,000....

Hao wanawezaje kuwa wachache boss??

Point ni hii hapa;

Watu hupiga kura sana tu na humchagua wamtakae....

Lakini siku zote, anayetangazwa ni yule ambaye kura hazikumtosha....

Hili ndilo tatizo lililo mbele ya kila mpiga kura.....

Mimi nadhani, tufikiri namna ya kuutafutia dawa, kisha kuukomesha na mwisho kuuondoa kabisa kabisa uharamia huu ambao hufanywa mchana kweupe....!!
 
kiukweli nimeogopa ujasiri alionao TL. Hajaogopa wanaotaka kumuua maana bado wapo kwa kuwa bado hawajakamatwa, hajaogopa mateso ambayo yanaweza kumkuta kutoka kwa wenye mamlaka. Hakika huyu bwana ni shujaa, anafaa kupewa nchi, hatawaogopa wale walitufikisha kwenye hili lindi la umasikini kwa kupora cake ya Taifa.

Chadema mtatukosea sana watanzania kama hamtampitisha TL kuwa mgombea wenu. Mh Nyalandu pls muunge mkono TL
Lissu pia ni mtu mwenye huruma. Anaweza kuwasamehe tukaendelea kujenga nchi.
 
Registered eligible voters ni almost 22,000,000....

Hao wanawezaje kuwa wachache boss??

Point ni hii hapa;

Watu hupiga kura sana tu na humchagua wamtakae....

Lakini siku zote, anayetangazwa ni yule ambaye kura hazikumtosha....

Hili ndilo tatizo lililo mbele ya kila mpiga kura.....

Mimi nadhani, tufikiri namna ya kuutafutia dawa, kisha kuukomesha na mwisho kuuondoa kabisa kabisa uharamia huu ambao hufanywa mchana kweupe....!!
Mwenyekiti Jaji Mstaaf Kaijage ametangaza wapiga kura halali ni 29M
 
Lakin hawa wanao sapotiwa sana na wazungu mm huwa siwaamin kwa 100% maana kwa mzungu hakunaga free meals, ukiona wanakuunga mkono sana jua utawalipa siku ukifanikisha, kama sio kwa raslimali bas kwa kupitisha sela kama zao
Nami ndo khofu yangu juu ya hilo tu Wazungu ni watu wa hila sanaa ni kama watakua wamempandikiza kijana wao lakini ukiondoa hilo naye ni kiongoz mzuri
 
Hata mi nimeamini huyu mtu sio wa kawaida,sikutegemea kama angerudi na polisy pamoja na vitisho vyao wameufyataaaaaa

Wapi mwanaharakati huru jamaniiii......
Hujamsikia twitter kule anasema eti chadema wamepanga kumpa sumu yaani lile jamaa lina makamasi kwa ubongo
 
Watu wengi tunapenda tushabikia tu ila kura unakuta mtu anampa mwingne.
Kama kura zisingekuwa ni siri ndio watu wangejua unafiki wa wapigaji kura
Mnasemaga hivyo hivyo. Zanzibar Maalif Seif alishinda vipi?? Uchaguzi wa Zanzibar Lowasa alimshinda Magufulu kwa maelifu ya Kura. Waliopiga ni maroboti?
 
Nami ndo khofu yangu juu ya hilo tu Wazungu ni watu wa hila sanaa ni kama watakua wamempandikiza kijana wao lakini ukiondoa hilo naye ni kiongoz mzuri
Ondoeni wasi wasi uongozi na uimara wa lissu haujaanza leo. Ni wa kihistoria.
 
Back
Top Bottom