Tuache utani, usione mwenzako ana six packs ukadhani kaziokota barabarani

Samah
Samahani mkuu unaweza kuelezea uzoefu wako kwenye suala la diet. Kipi cha kuacha na kipi cha kula na msoso gani unaeeza kuuepuka kati ya chai, chakula cha mchana au usiku.

Je mtu akiacha kula hizi wanga kama wali na ugali kwa kiwango kikubwa inaweza kusaidia?
 

Mwendo ni kusaka noti mambo ya six packs hayana maana sana sana utaishia ubaunsa club za starehe.
 
Hahahahaaaa kama vipi endelea kufuga One pack yako mkuu
 
hivi vifaa vya kizungu vinakatisha tamaa kuviangalia unavipata watu!
 
Vitambi viko vya aina kuu 3

1. Vitambi Lishe (Lishe/Maisha Mazuri)
2. Vitambi Beer (Tumbo kulegea wingi wa wanga mwilini sabab ya mipombe)
3. Vitambi Minyoo (Wengi uswazi wanavyo sabab ya kula mataputapu/Kula bila mpangilio)


Mi nko na kitambi Lishe. Lol

(Situmii Kilevi chochote kile). Nikijinyima kwa week 1 au 2 kinapotea. All in all kitambi lazima kiwepo kile cha kishkaj....le mbebez hakuoni le kapukuz u kno. Tehe
 
Hicho ndio kama cha kwangu. Sema sasa nataka kabisa niweke packs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…