Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Samah
Je mtu akiacha kula hizi wanga kama wali na ugali kwa kiwango kikubwa inaweza kusaidia?
Samahani mkuu unaweza kuelezea uzoefu wako kwenye suala la diet. Kipi cha kuacha na kipi cha kula na msoso gani unaeeza kuuepuka kati ya chai, chakula cha mchana au usiku.Hakuna kitu kama "mazoezi ya kupunguza tumbo" hii ni myth.
Ukizifanyisha kazi muscle za tumbo haina maana kuwa utapungua mafuta sehemu ye tumbo hii myth inajulikana kama spot reduction unaweza kusoma zaidi hapa Spot reduction - Wikipedia, the free encyclopedia.
Kwa kifupi kama utakuwa unatumia calories nyingi kulizo unazokula utapungua uzito, ila huo uzito utapungua sehemu gani ya mwili itategemea na genetics zako zaidi. Ndo maana wanasema "six-packs are made in the kitchen", angalia diet yako kuliko mazoezi.
Ila mazoezi ni mazuri kwa afya yako kwa ujumla.
Je mtu akiacha kula hizi wanga kama wali na ugali kwa kiwango kikubwa inaweza kusaidia?