Tuache utimu: Kuna nyimbo inayofikia hata "Matatizo" tangu Harmonize aanze kujitegemea

Binafsi naona kijana nyimbo zake ndio ni nzuri ila tu kwa sasa zimekua na uzuri wa levo za kawaida tu, sio kama za yule harmonize tuliemjua wa kwangaru, firewaist, matatizo, n.k

Kwa sasa kwanza niseme tu kijana kajipa mzigo mkubwa kwa hulka nazoweza kusema za kuonyesha watu kwamba anaweza zaidi ya zamani ila kiukweli ndo anaelekea shimoni.

Naona nyimbo zimejikita zaidi kwa lengo la visasi na ngono kwa asilimia kubwa, ngoma kama hujanikomoa ama bedroom zimeangukia maudhui hayo na ukisikiliza bedroom remix ndio kabisa ni ngono bila mafumbo hata mtoto anaelewa.

Pia kitendo cha kumsaini tu msanii kakifanya katika mda usio sahihi, maana ni vyema unaposaini wasanii basi angalau uwe umeshajijenga mno kama kina Diamond, lady jay dee au Ali kiba na pia uwaachie nafasi hao wasanii unapowatambulisha wao ndo wafyatue ngoma huku wewe umetulia
sawa
 
Naombeni mnisamehe
Alli kiba na Lady jay dee ni wasanii wakongwe ila sizani kama wanamzidi Harmonize kwa lolote
swala la kwamba harmonize ajiimalishe kwa mifano ya watu hao utampoteza
 
Harmonize kishayumba.kama muziki ingekuwa kipaji tu basi wasanii wengi wangekuwa mbali
 
daah kipindi harmonise anatoka kimziki sikuwahi muelewa hata kidogo ilifikia hatua mziki wake nilikuwa sisikiliz kabisa maan nilimuon hana kipaji kabisa yani
ila miaka kadha mbele nilikubali ngoma kadhaa ya kwanz ilikuwa fire waist,krizbeat ft yemi alade pia show me what yo got
cha ajabu alipotoka wcb tu hahaha jamaa anatoa nyimbo mbayaaaa utadhani ndio anaanz kuimba kiufupi anaimba ki underground sana
 
Anaimba kwa kushindana tatizo
 
Back
Top Bottom