Hii ligi tamu sana, wacha iendelee ..
Kutokana na hiki ulichoandika, kama mwanaume atahitaji heshima, basi ahakikishe ataoa mwanamke mwenye kipato kidogo, ili abakie na majukumu yake ya kulea na kutunza familia..
Sasa itakuwaje kipato cha mwanamke kikaongezeka wakiwa ndani ya ndoa, na mwanamke akaanza dharau? hapo ndio balaa hutokea, utaskia mume aua mke kwa kumtumbukiza kwenye tundu la choo nk..
Muhimu ili ndoa idumu, lazima uzamani unaosema uwepo, heshima ya mke kwa mume iendelee kuwepo no matter what, sasa hawa masistaduu wetu wa sasa wataweza hilo hasa wakiwa na kipato?
Mwanamke wa sampuli hii awe tayari kumfulia mume wake ...
Mwanamke wa sampuli hii awe tayari kumpikia mume wake ..
Mwanamke wa sampuli hii awe tayari kudeki nyumba, aache kuingia JF, insta, na FB, wakati pesa ya kumlipa house girl anayo???
Mwanamke amepaki IST hapo nje, unamwambia akaogeshe watoto utoke nao, wakati yeye anataka kuwahi saluni akatengeneze nywele weekend?