Tuacheni Kujipa Moyo, Ndoa kwa Kizazi cha Sasa ni Gereza la Mateso

Wabongo mnaotangaza hii kauli mbiu mna tofauti gani na wanaoueneza ushoga na imani ya LGBTQ?

The world order imetengeneza mfumo mzuri wa ndoa, watoto wazaliwe ndani ya ndoa ili wawe na misingi mizuri pamoja na malezi mazuri kutoka pande zote.


Sasa wewe kama hutaki ndoa baki hivyo na imani yako, kwanini ui project hiyo imani yako kwa watu wengine? Leo mnasema kwanini wazungu wanasambaza ushoga ila nyie pia mnafanya the same thing kusambaza hiyo kataa ndoa inamaana watu wawe mashoga, wawe wazinzi, wazidi kuzaliana single mothers na watoto wanalelewa bila baba.
Jitafakarini
 
Hii ligi tamu sana, wacha iendelee ..

Kutokana na hiki ulichoandika, kama mwanaume atahitaji heshima, basi ahakikishe ataoa mwanamke mwenye kipato kidogo, ili abakie na majukumu yake ya kulea na kutunza familia..

Sasa itakuwaje kipato cha mwanamke kikaongezeka wakiwa ndani ya ndoa, na mwanamke akaanza dharau? hapo ndio balaa hutokea, utaskia mume aua mke kwa kumtumbukiza kwenye tundu la choo nk..

Muhimu ili ndoa idumu, lazima uzamani unaosema uwepo, heshima ya mke kwa mume iendelee kuwepo no matter what, sasa hawa masistaduu wetu wa sasa wataweza hilo hasa wakiwa na kipato?

Mwanamke wa sampuli hii awe tayari kumfulia mume wake ...

Mwanamke wa sampuli hii awe tayari kumpikia mume wake ..

Mwanamke wa sampuli hii awe tayari kudeki nyumba, aache kuingia JF, insta, na FB, wakati pesa ya kumlipa house girl anayo???

Mwanamke amepaki IST hapo nje, unamwambia akaogeshe watoto utoke nao, wakati yeye anataka kuwahi saluni akatengeneze nywele weekend?
 

Mkuu Barikiwa Sana.
Watu wanahamasisha ndoa na kusahau kuhamasisha misingi ya Ndoa ambayo hiyo ndio hujenga na kusimamisha ndoa na Familia
 
Bandiko zuri linaturudisha Eden!

Ndoa zilianza kuharibika KWA ule mkutano wa BEIJING!!

DHANA ya usawa wa kijinsia wakati haupo!

Kam mifumo ikivurugwa automatically kitu halisi kinakuwa kimevurugwa.

Wanaoikubali ndoa wengi wao ndio wavuragaji WA ndoa.
Alafu wale wanaoipinga wengi wao wanaona misingi ya Ndoa imevunjwa hivyo hakuna umuhimu wa Ndoa.
Ukishamdharau Mungu umedharau mifumo ya Asili
 
Unaongea ukiwa kwenye ndoa au umeoa na kuacha, kama hujawahi kuoa usizungumzie mpira...

Mcheza baseball ⚾ akachambuwe mpira wa miguu ⚽
Kweli ?
 
Unaunga mkono UTALIBANISM sio?
 
Ndoa za chuo 98%sikuwqh kuona matokeo positive. Zinavumaga block zote wanajua flan yupo na flan.kupelekana cafteria full kuuza.kukaa kaa tahamak tunaskia ilikufaga kila mtu ana tyime zake.full kushuka town weekend kujifanya kula special caftrieria.wakat wenzen wanapanga folen wal harage buku kukatq virisiti nyie mnajifanya mnakula special elf 7000 wali main roast. Labda labda za education nadhan wana walidumisha had leo
 
Wa chuo mtihan nao.akisoma akaona anakupikia tu anaona unamfuja.naye aanataka awe ofisin.
 
Hivi hawa nao walizaliwa ndani ya ndoa za kisasa? Ukiwaangalia hawa madogo kiumri ni miaka20s bila shaka wamezaliwa katka ndoa za kizamani, sasa Nini kimepelea wao kuishi hivi? Kwa Hali hii ndoa itazidi kuwa gereza kwakweli, anyway me niwaambie tuu vijana, watafute wanawake wa kuzaa nao na siyo kuowa tafuta familia nyonge then mpachike mimba binti yao usubiri kulea mwanao tuu atakae kusaidia uzeeni.
 
Vijana msikurupukie slayqueens chunguzeni vizuri wenza wenu

Leo hutukani matusi ya nguoni kwa kisukuma?! Hivi unajisikia vizuri kabisa kutukana watu matusi ya nguoni, tena ukiwa kama mwanamke. Ndiyo tunatumia fake ID ila upate muda wa kujitafakari. Haipendezi mwanamke kutukana kwa kiwango chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…