Tuacheni Kujipa Moyo, Ndoa kwa Kizazi cha Sasa ni Gereza la Mateso


Kuelimishana kuna Kwa Aina mbili, kuna Kwa Njia rahisi na Kwa Njia ngumu
 
Mapya yapo mengi Sana Mkuu.
Miaka 15 ni mingi mno Kwa Dunia kutoa Akiba yake ya mapya.

Ni vile hautaki kuona Vijana wanahoja zipi.
Mimi nipo kwenye Ndoa Mwaka wa Saba huu.
Lakini kila Siku naona vitu vipya
Sasa wewe umeoa, halafu hutaki wenzio waoe, unataka uwafanyeje? Hahahaha
 
Sijawazuia kuoa Mkuu,
Wala siwaruhusu kuoa. Ni maamuzi Yao.
Ila naangalia Haki ya hoja zao Kuwa ni kweli au sio kweli. Hilo tuu.

Mimi nipo upande wa kweli na HAKI
Sometimes Shetani (kama unaamini) anaweza kukutumia bila kujua, inahitaji Neema Ya Mungu
 
Siku hizi tunaishi na wapambanaji. Wote tunatafuta.
Bodaboda wamekuwa wanajua nyumba zetu mpaka vitu tunavyokula maana wao ndo wanatumwa masokoni kununua mazaga. Hii effect tutaridhisha vizazi vyetu na watakuja kuwa na maisha mabovu zaidi ya haya.

Mimi binafsi hili nililiona mapema nikachukua initiatives ambapo kwa asilimia 82 nafurahia maisha yetu
 

👏👏👏
Barikiwa Sana Mkuu
 
Umeandika vizuri kama kawaida Yako except ulipokuja ktk point ya dini, haswa upande wa uislamu..Sasa, ulichokiandika hapa kwa % kubwa kinashabihiana na mfumo wa ndoa na malezi uliopo ktk uislamu. Jaribu kupitia au kuuliza kwa wasomi wa kiislam kuhusu mada hii na utaona ukweli wa hili nililoandika hapa.
 
Wazee wa Alphabet i.e LQGBT wamevamia mtandao wa Jamii forum
Punguza ujinga.
Kwakuwa haendani na unachoamini haimanishii wewe ndio uko sahihi.

PUNGUZENI HAYO MANENO YA KISENG* YA PESSISM MIDOMONI MWEMA.


#YNWA
 
Watoto wa nje shetani ameamua kuwatumia kupinga ndoa ambao ndio mpango wa Mungu.

Ukipinga ndoa unaunga mkono ushoga, usagaji, uzinzi, punyeto nk

Punguza ujinga.
Kwakuwa haendani na unachoamini haimanishii wewe ndio uko sahihi.

PUNGUZENI HUO U-PESSIMISM MDOMO MWENU.

#YNWA
 
Uko sahihi vijana wanateseka kwa kutojua misingi ya vitu fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…