Tuacheni Kujipa Moyo, Ndoa kwa Kizazi cha Sasa ni Gereza la Mateso


We hii post yako unasambaza nini?

Punguza ujinga.
Kwakuwa haendani na unachoamini haimanishii wewe ndio uko sahihi.

PUNGUZENI HAYO MANENO YA KISENG* YA PESSISM MIDOMONI MWEMA.

#YNWA
 
Utamaduni haujavurugika kwa vijana wa sasa tu, hata wa zamani nao ndo hazipo salama, wengi hivi sasa wanaishi pamoja ili kulinda watoto lakini suala la ndoa haliipo any more, ndoa zinazoshamiri regardless of age ni hizi disposable za fb, insta na whatsapp
 
Mke na mama watoto wa mtu alisikika akisema Kuna maex zangu wakitaka ata Sasa hivi siwezi nikawanyima
 
Marry Your friend. Narudia Tena Marry your friend
 
Sijasoma yote nimesoma heading na mistari michache ya mwanzo kwa kifupi umeongea point sana mkuu ila kwa vitoto vya sasa hasa vya kike vikisoma huu uzi havitakuelewa
 
Kwahiyo kwakuwa HATUTAKI ndoa ndio LG ... kwamba sisi ni mashoga?

Kwenye ndoa zenu huko ndio kuna mashoga kibaoo.
Cc. Afande wa Zenji.

PUNGUZENI UPUUZI.

#YNWA
Kwani unadhani wanaosema kataa ndoa wote hawajaoa? Ndo mnavyojidanganya.

Msisingizie wanawake. Semeni tu hamna machine za kuhimili 🚮 polee
 
Kwani unadhani wanaosema kataa ndoa wote hawajaoa? Ndo mnavyojidanganya.

Msisingizie wanawake. Semeni tu hamna machine za kuhimili 🚮 polee
Changamoto ya mtanzania anataka ""Usikatae kile anachoamini yeye na anachotaka yeye""

Tuna mentality ya kwamba ""Nikisema ndio na kiwe ndio""

Kwenye hoja zako umetoa tu tuhuma na matusi na kejeli kwasababu ""Kuna mtu yupo against mawazo yako""

Ila uthibitisho wa hayo usemayo HUNA.

Haya bwana UMESHINDA, Vyovyote usemavyo ni sawa.

Huwa hamuwezi kutetea hoja zenu zaidi ya kuita watu mashoga sijui wamelelewa na single Maza, kifupi ni kutumia Pessimism worlds tu.

Haya mmeshinda ila KUOA HATUTAKI.

#YNWA
 
Sasa wewe hutaki kuoa unaleta kende humu jf kumwambia nani?? Hutaki kuoa basi baki na mawazo yako kawashauri watu wa kwenu huko msituendelezee vizazi haramu huku
 
Sasa wewe hutaki kuoa unaleta kende humu jf kumwambia nani?? Hutaki kuoa basi baki na mawazo yako kawashauri watu wa kwenu huko msituendelezee vizazi haramu huku
Wewe unayetaka kuoa usituletee pumbu zako hapa.
Kila mtu amini anacho amini.

Kaa na ndoa zako huko, humu JF unamwambia nani?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…