hajawahi kukanusha kuhusu ile clip ya audio ya x-shemeji yake muitaliano aliyemtapeli kuwa atamuunganisha na Ikulu ya enzi za mkwere!Sawa ukweli ni kua, Kipara ngoto ni mwizi kwa ushahidi hata wa wazi, hata huyo Da mange wenu alishathibitisha wizi wa kipara na dada and kwa aliyekua shemeji yake mzungu muitaliano
Bora umeamua kuusema ukweli halisi, Big up mkuu!Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi.
Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua kujitoa akili. Hawa huwa tu wanaenda na upepo wakiwa na stress wanatafuta hero hasa wanapokosa upande wao wanahamia upande wa pili kutafuta heroes.
Nasisitiza. Tuache kumsingizia kuwa January Makamba aliwahi kuwa smart. Si kweli ... Hata kama kuna pesa zake tunakula basi pia tujitahidi kutompakazia mambo si kweli. Kuwa eti ana akili sana. Hapa kumkebehi
Sasa mbona wewe unanipangia cha kusema na kunichagulia kipi unachoona wewe ni kweli na ninachoona uongo? Inawezekana katika watu wako yeye akawa smart. Hilo sikatai ila kwa mimi na watu ninaokuwa nao karibu jamaa ni mtupu kichwani.Mtoa mada sio jukumu lako kuwapangia watu cha kusema, sio uongo kusema Makamba ni smart kichwani huu ni wakati wa kuambiana ukweli.
Na amewaroga wengi sana hawawezi kufikiri vizuri.January ni mpumbavu kwelikweli,huyu anaishia kwa kuwekeza mitandaoni na uchawi uliotukuka
Ni kweliJanuari mtu mmoja wa hovyo kabisa, sema ana chawa wengi mno wanaonufaika kwa kumpamba.
Sasa kama dadaako alikubali kuchepuka na mimi wivu wako wa nini? Nawe kachepuke na mungu wako mwendazakeMchepuko gang... Huwa mnasifia kila kitu
Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi.
Hizi Kampeni zimepigwa miaka mingi na watu flani vilaza na walioamua kujitoa akili. Hawa huwa tu wanaenda na upepo wakiwa na stress wanatafuta hero hasa wanapokosa upande wao wanahamia upande wa pili kutafuta heroes.
Nasisitiza. Tuache kumsingizia kuwa January Makamba aliwahi kuwa smart. Si kweli ... Hata kama kuna pesa zake tunakula basi pia tujitahidi kutompakazia mambo si kweli. Kuwa eti ana akili sana. Hapa kumkebehi
Mwenye akili sana ni Dr Kalemani.Ni uongo na uzandiki mkubwa kusema au kutaka aminisha watu kuwa January Makamba yupo smart kuchwani. Uongo na uongo ni dhambi.