Tuacheni kuwa Wanafiki kwahiyo tulisubiri mpaka Pele 'Akate Moto Mazima' ndiyo tumpambe kwa hii Misifa?

Tuacheni kuwa Wanafiki kwahiyo tulisubiri mpaka Pele 'Akate Moto Mazima' ndiyo tumpambe kwa hii Misifa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hivi tungekuwa tunampa hizi Sifa zetu zote za Kinafiki tunazozitoa sasa sehemu mbalimbali asingezifurahia na hata Kumfariji alipokuwa bado Hai anapambania Maisha yake Hospitalini?

Hakuna Kitu nachukia kama Unafiki. Na hasa hasa tabia hii tunayo Sisi Miafrika ila zaidi kabisa Sisi Mitandania.

Tubadilikeni bado hatujachelewa Ok?
 
Mwamba was Great anastahili kila sifa ila nadhani kuna wale Team Ronaldo nao wanapush agenda kimya kimya
 
Hakuna mtualiwahi kusifiwa akiwa hai
Hii sio kweli, watu walishindana kumsifia Magufuli akiwa hai hadi viongozi wa dini wakasahau kumsifu Mungu na badala yake wakawa wanamsifia Magufuli tu na alipofariki wakahamia kwa mama hadi pesa zote za serikali wanasema ni za mama.
 
Ni utamaduni duniani kote, mtu alifariki tunaomboleza na kukumbuka mazuri yake aliyoyafanya akiwa hai.

Kwa case ya Pele mbona watu walikuwa wakimsifu hata alipokuwa hai.
 
Hivi tungekuwa tunampa hizi Sifa zetu zote za Kinafiki tunazozitoa sasa sehemu mbalimbali asingezifurahia na hata Kumfariji alipokuwa bado Hai anapambania Maisha yake Hospitalini?

Hakuna Kitu nachukia kama Unafiki. Na hasa hasa tabia hii tunayo Sisi Miafrika ila zaidi kabisa Sisi Mitandania.

Tubadilikeni bado hatujachelewa Ok?
mzembe mmoja wewe,amesifiwa zaidi ya miaka 70 wakati wazazi wako hata hawajui watakuwa na kiumbe kama wewe
 
Sisi wengine tulishaweka wazi, Pele anabaki pekeyake, Maradona anafuatia, Mess na CR7 Wana eneolao, Zidane na Dinyo nao Wao wako pekeyao.
Uku kwetu tuendelee na ubishani wetu wa Kibu na Mayele.
Sasa huyu Kibu anayepitwa magoli na Nzee Ntibanzokiza kwa mechi moja ndio wakumshindanisha na Mayele? Baa somoo!!
 
Ana I'd 1000 za kujipigia kura, huyo kajipa ushindi mwenyewe.

Sasa pumba kama hizi eti huyu ndio mwanachama bora wa jukwaa la sports my esiii.
Cha Kushangaza na Kunishangaza hunipendi GENTAMYCINE na Unahubiri Kutwa hapa JamiiForums Kunichukia ila kwa 99.9999% Wewe ndiyo Unaongoza kwa Kusoma Mada ( Threads ) hapa. Je, nikikuita Mpumbavu na Mwendawazimu nitakuwa nakosea au nakukosea?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
kama soda kunywa!jitu zembezembe,toka 1950's wanaimba,wanasema,wameandika,wameigiza,wametazama na kumwaga sifa kedekede na tuzo zisizo na idadi,wewe kamtu kamoja unakuja kuuliza uzembe
 
Back
Top Bottom