GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Basi huu ni Upumbavu mkubwa mno.Hakuna mtualiwahi kusifiwa akiwa hai
Huyu ndo kapewa ushindi et ujinga kabisaBasi huu ni Upumbavu mkubwa mno.
Hii sio kweli, watu walishindana kumsifia Magufuli akiwa hai hadi viongozi wa dini wakasahau kumsifu Mungu na badala yake wakawa wanamsifia Magufuli tu na alipofariki wakahamia kwa mama hadi pesa zote za serikali wanasema ni za mama.Hakuna mtualiwahi kusifiwa akiwa hai
mzembe mmoja wewe,amesifiwa zaidi ya miaka 70 wakati wazazi wako hata hawajui watakuwa na kiumbe kama weweHivi tungekuwa tunampa hizi Sifa zetu zote za Kinafiki tunazozitoa sasa sehemu mbalimbali asingezifurahia na hata Kumfariji alipokuwa bado Hai anapambania Maisha yake Hospitalini?
Hakuna Kitu nachukia kama Unafiki. Na hasa hasa tabia hii tunayo Sisi Miafrika ila zaidi kabisa Sisi Mitandania.
Tubadilikeni bado hatujachelewa Ok?
Idiot.mzembe mmoja wewe,amesifiwa zaidi ya miaka 70 wakati wazazi wako hata hawajui watakuwa na kiumbe kama wewe
Ana I'd 1000 za kujipigia kura, huyo kajipa ushindi mwenyewe.Huyu ndo kapewa ushindi et ujinga kabisa
Sasa huyu Kibu anayepitwa magoli na Nzee Ntibanzokiza kwa mechi moja ndio wakumshindanisha na Mayele? Baa somoo!!Sisi wengine tulishaweka wazi, Pele anabaki pekeyake, Maradona anafuatia, Mess na CR7 Wana eneolao, Zidane na Dinyo nao Wao wako pekeyao.
Uku kwetu tuendelee na ubishani wetu wa Kibu na Mayele.
Cha Kushangaza na Kunishangaza hunipendi GENTAMYCINE na Unahubiri Kutwa hapa JamiiForums Kunichukia ila kwa 99.9999% Wewe ndiyo Unaongoza kwa Kusoma Mada ( Threads ) hapa. Je, nikikuita Mpumbavu na Mwendawazimu nitakuwa nakosea au nakukosea?Ana I'd 1000 za kujipigia kura, huyo kajipa ushindi mwenyewe.
Sasa pumba kama hizi eti huyu ndio mwanachama bora wa jukwaa la sports my esiii.
kama soda kunywa!jitu zembezembe,toka 1950's wanaimba,wanasema,wameandika,wameigiza,wametazama na kumwaga sifa kedekede na tuzo zisizo na idadi,wewe kamtu kamoja unakuja kuuliza uzembeIdiot.
Jamaa wa ajabu kweli watu Kuna Uzi had wanatukana matusi shida kazoea mapira vumbiMbona pele tunamsifu leo Jana na juzi ,
Wewe unakaa fatilia ligi za mchangani Simba na Yana utamjuaje pele?