Labda anawaiga wakina MigosUstaa sometimes unakuwaga kama unavuruga mtu akili hivi haya mavazi anayovaa Diamond sometimes kwa siku za hivi karibuni mnayaelewa?View attachment 1418566
Sent using Jamii Forums mobile app
AAlikuwa ngada addict ?Alianza naona watu wake wa karibu wamemjia juu...kaacha au kupunguza, ila october, november december na january aliona kama chakula
Kama una sura nzuri jiandae kutongozwa soonNa jisura lake lilivyo bovu utafikiri yule shetani aliyekuwa akimjaribu yesu kule jangwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂 aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kufananisha glass ya wine na takataka
Hahaha ndio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe nawe ulimwona kama Herode?
Sent using Jamii Forums mobile app
ni mambo ya fashion anajitengenezea legacy yakeUstaa sometimes unakuwaga kama unavuruga mtu akili hivi haya mavazi anayovaa Diamond sometimes kwa siku za hivi karibuni mnayaelewa?
View attachment 1418566
Sent using Jamii Forums mobile app
U-star unapozidi tu anazidi kuwaa kama kapagawa yani anakuwa anawaza ni afanye awe kwenye headlines muda wote
U've nailed it!Huyo ni msanii. Anavaa kulingana na muktadha wa uhusika wake!
Shida ni nyie waswahili waswahili msiojua mazingira na alama za nyakati!
The boy is making money! He is entitled to wear whatever kind of costume much as he is able to catch your attention and appear fashionable or otherwise "abnormal".
Cha kushangaza, Kesho utawaona wanyoa viduku na wao wamevaa hayo manguo wanatikisa makalio barabarani!
Sent using Jamii Forums mobile app