Tuacheni u team jamani tuseme tu ukweli mavazi ya Diamond

Tuacheni u team jamani tuseme tu ukweli mavazi ya Diamond

Huo msuruari kahifazi sanitizer na maji yakutiririka na sekunde 22 za kunawa Kila Mara Ndo zimo humo!

Halafu wengi mmemuona domomond tu je hiyo jeje yenye kimini hamuioni..?
Toto inafaa kabisa kuliwa!
Huyo msarawili si mtu wa kuaminika Sana huyo jeje ajichunge.
 
Huyo ni msanii. Anavaa kulingana na muktadha wa uhusika wake!

Shida ni nyie waswahili waswahili msiojua mazingira na alama za nyakati!

The boy is making money! He is entitled to wear whatever kind of costume much as he is able to catch your attention and appear fashionable or otherwise "abnormal".

Cha kushangaza, Kesho utawaona wanyoa viduku na wao wamevaa hayo manguo wanatikisa makalio barabarani!



Sent using Jamii Forums mobile app
U've nailed it!
 
Achana kabisa na fashion unaweza vaa hata tambara
 

Attachments

  • IMG_20200414_145412_330.JPG
    IMG_20200414_145412_330.JPG
    39.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom