Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ustaa sometimes unakuwaga kama unavuruga mtu akili hivi haya mavazi anayovaa Diamond sometimes kwa siku za hivi karibuni mnayaelewa?
View attachment 1418566
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]Lengo ni apate attention ya vilaza kama wewe.. nazani kafanikisha ilo
Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Nyinyi wanawake simnapenda six pack?Kuna mkutano alienda kufanya kupromote Coral paints, alivaa kikoti kaacha vichuchu wazi, aliona aibu hadi akaenda kuvaa tshrt ndani.
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
mavazi ya koffi huwezi yafananisha na ya chibu hapo ukimuonesha hii picha naye atashangaa aseme “makambo ezali minene”
yeye nguo zake zipo designed kuendana sasa hapo Diamond kapiga suit ,sun glass , kitambaa kichwani, ma chain shingoni, ukitafuta picha zote za koffi hajawahi kuvaa hivo licha ya kuvaa yale ma skirt yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Bolyoka bolyoka Mobutu..mercmavazi ya koffi huwezi yafananisha na ya chibu hapo ukimuonesha hii picha naye atashangaa aseme “makambo ezali minene”
yeye nguo zake zipo designed kuendana sasa hapo Diamond kapiga suit ,sun glass , kitambaa kichwani, ma chain shingoni, ukitafuta picha zote za koffi hajawahi kuvaa hivo licha ya kuvaa yale ma skirt yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ambavyo nimecatch attention ya KILAZA WW ukakoment.Lengo ni apate attention ya vilaza kama wewe.. nazani kafanikisha ilo
Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Nyota ya ku-bust huwa haidumu.Keshamaliza fasheni zote sasa ni muda wa kuvaa kishamba
Jr[emoji769]
Sory mkuu hapo ndiyo yupiUstaa sometimes unakuwaga kama unavuruga mtu akili hivi haya mavazi anayovaa Diamond sometimes kwa siku za hivi karibuni mnayaelewa?
View attachment 1418566
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamshangaa Mond,sasa ukimuona kanyewest sindo utabaki mdomo wazi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost taratibu lol mbavu znauma mnoohBora hata Kiba alivaa kama Herode, ila huyu suruali kama glass ya wine ukiigeuza