Tuacheni u team jamani tuseme tu ukweli mavazi ya Diamond

Koffi Olomide anaweza kutusaidia majibu ngoja niwasiliane naye.

Sent using Jamii Forums mobile app

mavazi ya koffi huwezi yafananisha na ya chibu hapo ukimuonesha hii picha naye atashangaa aseme “makambo ezali minene”
yeye nguo zake zipo designed kuendana sasa hapo Diamond kapiga suit ,sun glass , kitambaa kichwani, ma chain shingoni, ukitafuta picha zote za koffi hajawahi kuvaa hivo licha ya kuvaa yale ma skirt yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mkutano alienda kufanya kupromote Coral paints, alivaa kikoti kaacha vichuchu wazi, aliona aibu hadi akaenda kuvaa tshrt ndani.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Nyinyi wanawake simnapenda six pack?
 
mavazi ya koffi huwezi yafananisha na ya chibu hapo ukimuonesha hii picha naye atashangaa aseme “makambo ezali minene”
yeye nguo zake zipo designed kuendana sasa hapo Diamond kapiga suit ,sun glass , kitambaa kichwani, ma chain shingoni, ukitafuta picha zote za koffi hajawahi kuvaa hivo licha ya kuvaa yale ma skirt yake
Sent using Jamii Forums mobile app
1587618614761.png

1587618783576.png

1587618846198.png

Kwa uchache.
 
mavazi ya koffi huwezi yafananisha na ya chibu hapo ukimuonesha hii picha naye atashangaa aseme “makambo ezali minene”
yeye nguo zake zipo designed kuendana sasa hapo Diamond kapiga suit ,sun glass , kitambaa kichwani, ma chain shingoni, ukitafuta picha zote za koffi hajawahi kuvaa hivo licha ya kuvaa yale ma skirt yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Bolyoka bolyoka Mobutu..merc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...mkuu huo ni usanii tu hivi unajua maana ya sanaa ? jaribu kucheki wasanii wa nje wenye kuvaa ovyo (according to you) we Google utashangaa hata domo ana nafuu ila kwakua ni msanii yupo kwenye sanaa itakuwa ni jambo la kawaida tu

na pia ni kama kuji brand na kupata attention mfano kama wewe ulivyomfungulia Uzi tayari Domo ashapata attention yako so ni kawaida tu unless otherwise una yako mwenyewe rohoni
 
Back
Top Bottom