Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Alianza naona watu wake wa karibu wamemjia juu...kaacha au kupunguza, ila october, november december na january aliona kama chakula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukivaa wewe hivyo ndani ya dakika tano ushawekwa quarantine baadae isolation kabisa.
Bora hata Kiba alivaa kama Herode, ila huyu suruali kama glass ya wine ukiigeuza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora hata Kiba alivaa kama Herode, ila huyu suruali kama glass ya wine ukiigeuza
Kuchamba kwingi....Ustaa sometimes unakuwaga kama unavuruga mtu akili hivi haya mavazi anayovaa Diamond sometimes kwa siku za hivi karibuni mnayaelewa?View attachment 1418566
Sent using Jamii Forums mobile app
We Una Sura nzuri?Na jisura lake lilivyo bovu utafikiri yule shetani aliyekuwa akimjaribu yesu kule jangwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Koffi Olomide anaweza kutusaidia majibu ngoja niwasiliane naye.Ustaa sometimes unakuwaga kama unavuruga mtu akili hivi haya mavazi anayovaa Diamond sometimes kwa siku za hivi karibuni mnayaelewa?View attachment 1418566
Sent using Jamii Forums mobile app
Herode[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora hata Kiba alivaa kama Herode, ila huyu suruali kama glass ya wine ukiigeuza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazima atumie nguvu ya mavazi mengi kupunguza kushtukiwa. Teja wa kimadale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kufananisha glass ya wine na takataka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na jisura lake lilivyo bovu utafikiri yule shetani aliyekuwa akimjaribu yesu kule jangwani.
Sent using Jamii Forums mobile app