Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

Acha kupangia watu maisha we buda unataka asiwagonge wanawake unataka umpe tako unaleta ujuaji mwingi kwenye maisha binafsi ya mtu hizo zako zitakufanya utolewe bikra mapema
 
Nafwaa hama porini uje downtown kwenye wabebez ila lemutuz alikuwa na kitu sema tulimchukulia poa tu.
 
1. Ni vigezo gani universal ambayo huthibitisha kuwa mtu ni wa hovyo?
2. Ni kitu gani huthibitisha kwamba mtu ni Malaya?
3. Una ufahumu wowote kuhusu ukaribu alionao mleta mada na huyo mtu aliyemuongelea?
 
Heading umekosea hakuwa kijana ni mzee hadi umauti unamkuta... over 50 near 60 unamuita Kijana
 
Acha ukuda jombi , Le mutuz alikuwa fresh tu kama walivyo wanaume wengine.Hakuna mwanaume mkamilifu aliyependa raha, totoz chuchu mchongoko msambwanda eeeh, mavitu makali kama kawa.Dunia tunayoishi kila mtu na mtindo wake wa maisha.Kama umefugwa na wife TULIZA kitenesi
 
Kikubwa alikemea ushoga ayo mengine sio ishu saana maana alikua haombi ombi ni pesa zake na kampani yake...
Pia umuhimu wa mtu haufanani kwa kila mtu.... yeye alikua kiungo mzuri kwa wanasiasa na viongozi wengi walikua wana mtumia so hayo ulikua huyaoni unaona anavyotumia pesa zake
 
Haya wewe tueleze maisha yako mazuri ili uzi upate credibility.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…