Tuacheni utani, Frank Lampard ni bonge la kocha

Kweli kabisa.Angalia mchezaji mmoja mmoja wa man u na chelsea ni kwamba hawazidiani sana uwezo lakini chelsea ikicheza inaonekana ina kocha wakati man u ina msimamia mazoezi.
 
Chelsea wanacheza mchezo wa kuvutia sana.
 
Unapo elezea Manchester sema ujue ziko.2 tofautishaga mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…