Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapo elezea Manchester sema ujue ziko.2 tofautishaga mkuuKiongozi top four bado sana hii ligi Ina laana kama sio ladha miaka ya nyuma Manchester ilikuwa ikifika krismas halafu anaongoza hiyo ilikuwa hamna namna zaidi ya nyinyi wengine mtafute nafasi ya pili au nafasi ya tatu lakini baada ya viwango vya timu kufanana,betting,na mambo mengine yaani bingwa sasa inabidi tusubiri mpaka mwezi wa tano,lampard kwa siku chache nilizomuona anaugonjwa wa kushindwa kufanya maamuzi ya kufanya sub,kwenye mbinu naona hapo baadae anaweza kufuata nyayo za Alex,mou,na babu wa Bayern
Kulinganisha na Nani?? Kepa anamuweka benchi David De gea spainPazia kepa aliyezubaaga